Na Imani Nathaniel, Gazetini
HaloPesa imehitimisha rasmi kampeni yake ya 'Tamba na Bonasi' baada ya kuwazawadia wateja wake zawadi mbalimbali zikiwemo bonasi na fedha taslimu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RIPOTI mpya ya jarida maarufu la Forbes inamtaja mfanyabiashara wa Tanzania, Mohamed 'Mo' Dewji, kuwa nafasi ya 12 katika orodha ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Sh trilioni 13.5 katika miradi 41 ya umeme nchini,...
Na Iman Nathaniel, Gazetini
Zaidi ya washindi 400 wamejishindia zawadi mbalimbali kupitia kampeni inayoendeshwa HaloPesa inayoitwa Tamba na Bonasi'.
Kupitia kampeni hiyo wateja wa HaloPesa wanapata...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini, Arusha
UTAFITI unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere, unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la Afrika...
*Yagusia suala la Tancoal
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imetoa rai kwa Serikali kuweka sera madhubuti zitakazowawezesha Watanzania kushiriki...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
Kampuni ya Halotel kupitia huduma yake ya kifedha Halopesa imezindua kampeni mpya inayokwenda kwa jina la “Tamba na Bonasi”, ili kuwazawadia...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Finland, Alexander Stubb leo Mei 16, 2025 akiwa katika muendelezo wa ziara yake hapa nchini ametembelea Soko la Machinga Complex...
Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast
KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Kampuni ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango maalum kwa ajili ya sekta ya usafirishaji wa mizigo mikubwa nchini kwa kuzindua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys)...
*Wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara...