Ads: info@gazetini.co.tz |
22.9 C
Dar es Salaam

AFYA

Dk. Magembe: Mawasiliano ya awali kabla ya rufaa ni muhimu kuokoa maisha

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Grace Magembe, ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za rufaa nchini kuhakikisha wanazingatia mawasiliano ya...

Serikali yatenga Bilioni tisa kusomesha madaktari bingwa

*Kupunguza Rufaa nje ya nchi na kuvutia tiba utalii, Rais Dokta Samia awekeza bilioni tisa kusomesha madaktari bingwa Na Clara Matimo, Gazetini-Mwanza Serikali ya Awamu ya...

Wauza miwani wafundwa

Na Mwandishi WetuWafanyabiashara ya miwani nchini wametakiwa kizingatia sheria na kuacha kuuza kuholela  ikiwamo kuchanganya na bidhaa nyingine kwani  miwani ni tiba hivyo inaweza...

Utafiti: Kamari husababisha changamoto ya afya ya akili

LOS ANGELES, MarekaniUTAMADUNI wa kucheza kamari umeonekana kukita mizizi kwa vijana wengi duniani, ingawa sasa utafiti umebaini kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya tabia...

Utafiti: Matumizi ya feni chanzo ugonjwa wa moyo

LOS ANGELES, MarekaniLICHA ya umuhimu wake, hasa kwa maeneo yenye hali ya hewa ya joto, matumizi ya feni yanaweza kuwa na madhara kwa afya...

Utafiti: Mboga za majani kinga dhidi ya saratani

LOS ANGELES, MarekaniKUEPUKA ulaji wa nyama na badala yake kutumia mboga za majani kutakuepusha na ugonjwa wa saratani kwa asilimia 25, utafiti unaeleza.Tafiti nyingi...

Kipindupindu chaua 40 wiki moja Sudan

DARFUR, SudanUGONJWA wa kipindupindu umesababisha vifo vya watu 40 ndani ya wiki moja nchini Sudan, huku vita vinavyoendelea vikihusishwa na tatizo hilo.Vita inayoendelea kati...

Watu 360 waugua baada ya chakula cha bure

JAKARTA, IndonesiaWATU zaidi ya 360, wakiwamo wanafunzi, wameugua ghafla baada ya kupata chakula cha bure kinachotolewa shuleni mjini Sragen.Chakula hicho ni sehemu ya programu...

Dawa za kulevya tani 30 zaingizwa nchini kama mbolea

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),  imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa tani...

Mila kandamizi zinavyotesa wanawake wenye changamoto za uzazi, IVF yaibua tumaini jipya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakati dunia ikibadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya teknolojia na tiba za kisasa, barani Afrika bado kuna mamilioni ya wanawake wanaoendelea...

Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema

LONDON, Uingereza KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....

Utafiti: Hewa chafu husababisha kupoteza kumbukumbu

LONDON, Uingereza HEWA chafu ni moja ya sababu zinazoweza kuathiri uwezo wa ubongo wako kutunza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha...

Recent articles