Ads: info@gazetini.co.tz |
23.1 C
Dar es Salaam

Siasa

Wasira: Uchaguzi Mkuu sio ajali

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue...

Sheikh Ponda atangaza  rasmi kuwa mwanachama mpya ACT Wazalendo

Na Mwandishi Wetu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, leo Alhamisi Juni 5, 2025, ametangaza kujiunga na Chama cha...

Dk.Samia atoa agizo kwa wanaochuja wagombea, asema Magwajima yaachwe nje

Na Mwandishi Wetu Mwenyewekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,  amewataka wanaochuja wagombea wa uchaguzi...

CCM yaahidi kukamilisha Katiba mpya, kuzalisha ajira milioni 8

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika utekelezaji wa Ilani Mpya ya Chama Cha Mapinduzi ya Mwaka 2025/30, Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya CCM Prof. Kitila...

Jeshi la Polisi lataja sababu ya kumkamata kiongozi wa Chadema

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Naibu Katibu Mkuu  Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aman Golugwa...

Dar yaongezwa majimbo mawili ya uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imeanzisha majimbo mapya nane ya uchaguzi na kubadilisha majina ya majimbo 12 ambapo Mkoa wa...

Salum Mwalimu, wanachama wengine watangaza kujitoa Chadema, wasema wao sio chawa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu  wa Chadema  Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama wengine wa chama hicho wametangaza kujitoa  katika chama hicho  kwa...

Migogoro ya viongozi yamchefua Dk. Biteko

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha...

Dk. Tulia awataka watanzania kuulinda Muungano kwa wivu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesema...

Balozi Nchimbi akabidhiwa ‘kifimbo’ cha Mwalimu

Na Mwandhishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...

Mwenyekiti wa CCM Rorya adaiwa kugawa viongozi wa chama, watendaji

*Kada wa CCM amuomba Wasira washuke kuona yanayoendele, Mwenyekiti Ongujo atoa kauli Na Mwandishi Wetu, Rorya KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka wilayani Rorya mkoani...

Mamady Doumbouya; Luteni wa jeshi aliyepindua Serikali Guinea

SIASA za Afrika Magharibi zimetikiswa na tukio la mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo jeshi la Guinea liliamua kushika hatamu kwa kuipindua Serikali ya Rais...

Recent articles