18.1 C
New York

Conte kuchukua mikoba ya Carrick

Published:

MANCHESTER, Uingereza

KLABU ya Manchester United inaweza kumgeukia Antonio Conte endapo itafikia ukomo wa kumvumilia kocha wa sasa, Michael Carrick.

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England [EPL] imeanza kufikiria kumfuta kazi Carrick.

Ripoti zinaeleza kuwa Inter Milan, Juventus, Chelsea na Napoli, ambaye inaelezwa kuwa yuko tayari kutua kwenye benchi la ufundi la Man United.

Conte amekuwa nje ya kazi ya ukocha tangu alipoondoka katika klabu ya Napoli majira ya kiangazi, 2026.

Taarifa zinaeleza pia, kocha huyo wa kimataifa wa Italia amekataa ofa kadhaa nzuri, zikiwamo kutoka Ligi Kuu ya Saudi Arabia na Uturuki.

Related articles

Recent articles