18.1 C
New York

Jezi ya Jordan yauzwa bil. 36/-

Published:

LOS ANGELES, Marekani

MICHAEL Jordan ni mmoja ya mastaa wakubwa kuwahi kutokea katika historia ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani [NBA].

Sasa, jezi aliyoitumia katika msimu wake wa mwisho Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani [NBA], imeuzwa kwa Dola milioni 14 [Zaidi ya Sh bil. 36 za Tanzania].

Alivaa katika fainali ya mwaka 1998 na inakuwa jezi ya bei mbaya zaidi ya mchezaji aliyestaafu katika historia ya NBA.

Jordan akiwa na kikosi cha Chicago Bulls alivaa jezi hiyo katika mechi ya pili ya fainali dhidi ya Washington Wizards, siku ambayo alifunga pointi 37.

Ni msimu ambao Bulls walitwaa ubingwa wa NBA na ndiye alilamba tuzo ya Mchezaji Bora katika mechi zote sita za fainali.

Related articles

Recent articles