Na mwandishi wetu, Gazetini
MWAKA jana, Ras Donald Trump alitangaza kuiwekea vikwazo Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) kwa kile alichodai kuwa Mahakama hiyo imekuwa...
CONAKRY, GuineaRAIA wa Guinea wameshangazwa na gharama kubwa ya fomu ya kuwania urais iliyotangazwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Desemba, mwaka huu.Gharama ya fomu ya...
HARARE, ZimbabweMATOKEO mabaya katika mechi za kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yamesababisha kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe 'Warriors', Michael Nees,...
ISTANBUL, UturukiSTRAIKA wa kimataifa wa Nigeria, Victor Osimhen, jana alifunga mara mbili na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bodo/Glimt.Ni kwa...
YOUNDE, CameroonMAHAKAMA Kuu nchini Cameroon imesisitiza kuwa haina mpango wa kufuta Uchaguzi Mkuu, na badala yake itatangaza matokeo ifikapo Jumatatu ya wiki ijayo.Kwa sasa,...
Na mwandishi wetu, GazeniBAADA ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya rushwa, Rais wa zamni wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano...
VILLARREAL, HispaniaBAADA ya kuingia kambani mara moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Villarreal, Erling Haaland ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo.Haaland amezifumania nyavu...
Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMA ulidhani binadamu ndiye kiumbe pekee kinachotumia kilevi aina ya pombe hapa duniani kwa ajili ya starehe au kupoteza mawazo, basi...
Na mwandishi wetu, GazetiniMBALI ya kulaani tukio la jeshi kupindua Serikali, Umoja wa Afrika (AU) umesitisha kwa muda uanachama wa Madagascar, huku hatua hiyo...
MADRID, HispaniaMECHI za Ligi Kuu ya La Liga zimeendelea kushuhudia wachezaji wakisimama bila kucheza mpira kwa sekunde 15 za mwanzo.Kitendo hicho kinatumika kama ujumbe...
WASHINGTON DC, MarekaniSERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump imetangaza kusitisha misaada yake kwa Colombia, ikidai Taifa hilo halina nia ya kutokomeza uzalishaji...