Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Usyk; mbabe wa ulingo, kiboko ya mabondia wa Uingereza

LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa ngumi za uzito wa juu, Oleksandr Usyk, ndiye bingwa wa dunia baada ya kumdunda kwa 'KO' ya raundi ya tano...

Son alivyoacha ufalme wake Tottenham, EPL

LONDON, UingerezaUKILIWEKA kando jina la Harry Kane, Son Heung-min anaweza kuwa mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika klabu ya Tottenham kwa miaka ya hivi...

Trump ameikabidhi Afrika mikononi mwa China?

PRETORIA, Afrika KusiniMATAIFA ya Afrika yanakabiliwa na kiwango cha juu cha ushuru kwa bidhaa zake zitakazoingia Marekani, ikiwa ni sera ya utawala wa Rais...

Diaz na mastaa waliotimka EPL kwa dau nono

LONDON, UingerezaHIVI karibuni, Liverpool walivuna kitita cha Pauni milioni 65.5 kwa kumpiga bei mshambuliaji wake, Luis Diaz, na kuingia kwenye moja ya rekodi za...

Partey aibukia La Liga

LONDON, UingerezaBAADA ya kuachana na Arsenal, kiungo wa kimataifa wa Ghana, Thomas Partey, amemalizana na Villarreal ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga).Partey aliyewahi...

Makocha hawa presha tupu EPL

LONDON, UingerezaNI takribani wiki mbili pekee zimebaki kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) kuanza.Msimu uliopita, makocha nane walifungashiwa virago, wa...

Uingereza yaporomoka viwango vya unywaji pombe duniani

LONDON, Uingereza KIWANGO cha unywaji wa pombe nchini Uingereza kimepanda kwa asilimia 10 kwa kipindi cha hivi karibuni. Ulevi ni tatizo kubwa nchini humo, ambapo...

ADF tishio jipya la ugaidi Afrika Mashariki?

KINSHASA, DRCWIKI iliyopita, watu wenye silaha walioripotiwa kuwa ni wapiganaji wa Kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kanisa mjini Komanda, Jamhuri ya...

Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema

LONDON, Uingereza KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....

Awashitaki wazazi kisa kumzaa bila ridhaa yake

NEW DELHI, India INAWEZA kukushangaza kidogo. Huenda pia ikakufikirisha, achilia mbali kuhisi ni simulizi ya kuikirika tu. La hasha! Ni kisa cha kweli kabisa. Kijana raia...

Firmino aondoka Saudia, aibukia Qatar

DOHA, QatarMABINGWA wa Ligi Kuu ya Qatar, Al Sadd, wamemsajili na kumpa mkataba wa miaka miwii mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Roberto Firmino.Nyota huyo...

Aliyetoka jela kesi ya bangi asajiliwa

LONDON, EnglandALIYEWAHI kuwa mchezaji wa Arsenal, Jay Emmanuel-Thomas, amejiunga na AFC Totton, zikiwa ni wiki chache tu tangu alipotoka jela.Jay alihukumiwa kifungo cha miaka...

Recent articles