LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imemtambulisha beki wa pembeni kutoka Rayo Vallecano ya Hispania, Pep Chavarria.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa na...
DAMASCUS, Syria
WAKATI hali ya utulivu ikiwa haijatengamaa, Syria iliingia katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2021 na Assad kushinda kwa muhula wake wa nne madarakani. Ni...
DAMASCUS, Syria
KAMA ilivyoelezwa katika sehemu ya kwanza ya makala haya, Assad hakutarajiwa kuwa kiongozi wa Syria. Hakuonekana kupenda siasa na kufuata nyayo za baba...
DAMASCUS, Syria
MAHAKAMA Kuu ya Syria imemuhukumu kifo aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Bashar al-Assad, baada ya kumkuta na hatia katika mashitaka ya uhalifu dhidi ya...
MERSEYSIDE, Uingereza
NYOTA huyo wa eneo la ulinzi ameondoka Barcelona na kujiunga na Liverpool majira haya ya kiangazi. Alikuwa nahodha wakati Wacatalunya hao wakitwaa ubingwa...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Real Madrid haijaachana na mpango wake wa kumsajili kiungo wa Arsenal na timu ya soka ya Taifa ya Hispania, Martin Zubimendi.
Licha...
MUNICH, Ujerumani
KLABU mbili za Barcelona na Tottenham zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa Bayern Munich, Harry Kane.
Kane (33), anatarajiwa...
NAIROBI, Kenya
KENYA imetupa karata yake katika mbio za kuwania tiketi ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika mwaka 2029.
Endapo Kenya itafanikiwa...
BAMAKO, Mali
WANAJESHI zaidi ya 10 wameripotiwa kuuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na kikundi cha waasi wikiendi iliyopita.
Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), ambalo ni...
NYON, Uswis
HIVI karibuni, kiongozi huyo wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) alikuwa Colombia kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Taifa hilo...
LUSAKA, Zambia
UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang'anyiro cha urais.
Ifahamike kuwa...