Ads: info@gazetini.co.tz |
30.3 C
Dar es Salaam

Featured

Norway kumshitaki Trump kisa Kombe la Dunia

OSLO, Norway SHIRIKISHO la Soka la Norway (NFF) limetangaza nia yake ya kumshitaki Rais Donald Trump kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Norway wanapeleka barua...

Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga achaguliwa Rais mpya wa AMECEA

Na mwandishi wetu, Gazetini ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya...

Wanasheria waliomba jeshi kumwachia Rais

NIAMEY, Niger WANASHERIA wa Rais wa zamani wa Niger, Mohamed Bazoum, wameomba kiongozi huyo aachiwe huru, ikiwa ni miaka mitatu tangu aliposhikiliwa na jeshi. Bazoum mwenye...

Gen-Z wamng’oa Waziri wa Elimu

NEW DELHI, India MAANDAMANO makubwa ya vijana wa Gen-Z nchini India yamemlazimisha Waziri wa Elimu, Dharmendra Pradhan, kuachia ngazi. Hatua ya vijana, wengi wao wakiwa ni...

Simba yaipiga bao Yanga, yamtambulisha Keletso

Na mwandishi wetu, Gazetini BAO la kisigino! Ndivyo unavyoweza kuita baada ya Simba kumtambulisha winga wa kimataifa wa Afrika Kusini, Keletso Makgalwa. Nyota huyo aliyecheza Sekhukhune...

Simba Queens yafyeka ‘maproo’ wanne

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA kujipanga kwa ajili ya msimu ujao wa 2026-27, benchi la ufundi la Simba Queens limewapa mkono kwa kwaheri nyota wake...

Kiungo kukimbia benchi Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa Arsenal raia wa Ureno, Fabio Vieira, anajiandaa kuondoka klabuni hapo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa. Nyota huyo mwenye umri wa...

Madrid, PSG, Liver kazi ipo kwa Diomande

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imewasilisha ofa yake ya Pauni milioni 85 kwa RB Leipzig wakiitaka saini ya winga wa klabu hiyo ya Bundesliga,...

Wagombea sita, nani Katibu Mkuu UN?

NEW YORK, Marekani BAADA ya miaka 10 ya kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, atakabidhi kijiti hicho kwa mtu mwingine ifikapo...

Sikia hii ya Arteta na makocha EPL

LONDON, Uingereza KATI ya makocha 20 wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwa msimu ujao wa 2026-27, ni watatu tu walioziongoza timu zao kwa zaidi...

Unamkumbuka Sam Allardyce? Ana heshima yake EPL

LONDON, Uingereza WAKATI Alex Ferguson akiwa ndiye kocha aliyehudumu kwa muda mrefu mrefu Ligi Kuu ya England (EPL), Sam Allardyce naye ana historia yake kwenye...

Hawa hapa makocha wa makombe EPL

LONDON, Uingereza MPAKA sasa, Alex Ferguson anabaki katika historia ya soka la Ulaya kama kocha mwenye mataji mengi ya Ligi Kuu ya England (EPL). Alistaafu...

Recent articles