Ads: info@gazetini.co.tz |
30.3 C
Dar es Salaam

Featured

Kwa makocha hawa, mambo yalikuwa magumu Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani RUDI GARCIA wa Ubelgiji ni miongoni mwa makocha waliojikuta kwenye wakati mgumu katika fainali zilizopita za Kombe la Dunia. Itakumbukwa kuwa Garcia aliondoka kwenye...

Kigogo ICC ang’olewa kisa unyanyasaji wa kingono

HAGUE, Uswis ALIYEKUWA Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, ameondoshwa kwenye nafasi hiyo. Ni baada ya nchi wanachama kukutana jana...

Yanga yamnasa winga Albert Kangwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC, wamekamilisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka Zambia, Albert Kangwanda, kwa mkataba wa miaka miwili...

Dk. Nchimbi: Utawala bora katika nchi ni katiba, pambaneni

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye...

Watekaji wa wanafunzi Nigeria wafungwa maisha

LAGOS, Nigeria MAHAKAMA nchini Nigeria imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaume watatu baada ya kupatikana na hatia ya makosa yanayohusiana na utekaji wa makumi ya...

Emery atarudi kwa staili gani EPL 2026-27?

LONDON, Uingereza WAKATI anakabidhiwa mikoba ya kuinoa Aston Villa mwaka 2022, Unai Emery aliikuta timu hiyo ikiwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu...

Urusi v Ukraine: Mawaziri, wakuu wa majeshi viti havikaliki

KYIV, Ukraine HIVI karibuni, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, alimfuta kazi Mkuu wa Majeshi, jenerali Oleksandr Syrskii, siku chache baada ya 'kumtumbua' Waziri wa Ulinzi,...

Macho yote sasa WAFCON 2026

CAIRO, Misri BAADA ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Dunia, sasa macho na masikio ya mashabiki ya wapenzi wa soka yataelekezwa katika michuano ya...

Urusi inasiaidia Iran kuitandika Marekani?

WASHINGTON DC, Marekani HIVI karibuni, Katibu Mkuu wa Ikulu ya Marekani, Marco Rubio, alikuwa Manila, Ufilipino, ambako alikutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Wizara...

Matajiri wanapoiomba Serikali iwatoze kodi zaidi

LONDON, Uingereza WAKATI ikiwapo dhana kuwa wafanyabiashara wakubwa wamekuwa na kawaida ya kukwepa kodi za serikali katika nchi zao, kwa Uingereza imekuwa tofauti. Kundi la mamilionea...

Ugonjwa wa Ebola bado kizungumkuti DRC

KINSHASA, DRC WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa...

Pirlo anukia ukocha Italia

MILAN, Italia MKONGWE wa klabu ya AC Milan, Andrea Pirlo, anakaribia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Kwa mujibu wa...

Recent articles