27.2 C
Dar es Salaam

Featured

Polisi wachunguza kilichomuua Destiny Boy

LAGOS, Nigeria POLISI wanamshikilia mtu mmoja, huku wakiendelea na uchunguzi juu ya kifo cha mwanamuzi wa Nigeria, Destiny Boy. Destiny Boy, ambaye jina lake halisi ni...

Miji 10 kinara kwa ubora wa maisha Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini MAISHA katika miji yote barani Afrika yanatofautiana, hiyo ikitokana na gharama za maisha, ikiwamo uwezo wa watu wake kufanya manunuzi. Haiishii hapo....

Morocco yakimbilia FIFA kisa fainali ya AFCON

RABAT, MoroccoSHIRIKISHO la Soka la Morocco (FRMF) limeweka wazi mpango wake wa kuiandikia barua ya malalamiko Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga kile...

Magaidi 1,500 watoroka gerezani

DAMASCUS, Syria WAPIGANAJI wa kundi la kigaidi la IS nchini Syria wametoroka gerezani wakati vikosi vya jeshi la Serikali vikipigana na waasi wa SDF. Taarifa zinaeleza...

Visual| A-Z yaliyojiri fainali za AFCON 2025

RABAT, Morocco BAO pekee la staa wa Villarreal ya Hispania, Pape Gueye, limehitimisha msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuipa...

Sadio Mane anavyoibeba mabegani Senegal

DAKAR, Senegal WAKATI timu ya taifa ya Senegal inatwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kuifunga Misri mwaka 2021, Sadio Mane ndiye...

China yateswa idadi ndogo ya watoto

BEIJING, China IDADI ya watoto waliozaliwa mwaka 2025 nchini China ni ndogo zaidi kuwahi kutokea katika Taifa hilo la Asia.Ni kwa mwaka wa nne mfululizo...

Olivier Toure naye atua Simba

Na mwandishi wetu, Gazetini BEKI wa zamani wa Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, Ismael Olivier Toure, amejiunga na kikosi cha Simba kupitia kipindi hiki cha...

Mbappe aibuka Alonso kufukuzwa

MADRID, Hispania MSHAMBUALIJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anaamini si sahihi kusema Xabi Alonso alifeli katika kibarua chake cha kuinoa timu hiyo. Alonso alifungashiwa virago hivi...

Madrid kung’oa kiungo Chelsea?

LONDON, Uingereza KLABU ya Real Madrid inampigia hesabu kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, ikipanga kukamilisha usajili huo ifikapo mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26. Madrid inataka...

Bunge laisisitiza Serikali kuwalinda wafanyakazi sekta isiyo rasmi

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

Depu atupia Yanga ikiichabanga Mashujaa mabao 6-0

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WANANCHI Yanga wameichakaza timu ya Mashujaa mabao 6-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho Laurindo Aurelio maarufu Depu akitupia bao moja...

Recent articles

spot_img