24 C
Dar es Salaam

Featured

Wakimbilia Bima ya Mazishi wakikwepa gharama ya Afya

HARARE, Zimbabwe WANANCHI wa Zimbabwe wamepokea kwa mwitiko mkubwa Bima ya Mazishi, ikiwa ni baada ya kushindwa kumudu gharama za Bima ya Afya. Ifahamike kuwa Bima...

Enrique hana mpango na Man United

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG raia wa Hispania, Luis Enrique, havutiwi na mpango wa kuinoa Manchester United, licha ya kuhusishwa na klabu hiyo kwa ajili...

Madrid yamkomalia Rodri

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imerejea kwa kasi katika mpango wake wa kumfukuzia kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania, Rodri...

Badiashile ajiandaa kuondoka Chelsea

LONDON, Uingereza CHELSEA iko njiani kuachana na beki wake wa kati raia wa Ufaransa, Benoit Badiashile. Ataondoka klabuni hapo majira ya kiangazi ya mwishoni mwa...

Visual| Miamba ya Benki Tanzania: NMB vs CRDB

Na mwandishi wetu, Gazetini BENKI za NMB na CRDB zimeendelea kuthibitisha ubora na uimara wao katika sekta ya fedha nchini baada ya kila moja kutangaza...

UN: Wasichana milioni 4.5 hatarini kukeketwa mwaka 2026

NEW YORK, Marekani RIPOTI mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) inaonesha kuwa wasichana takribani milioni 4.5 duniani kote wako kwenye hatari ya kufanyiwa ukeketaji kwa...

Maisha, mikasa ya Bob Marley (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya maisha ya Bob Nesta Marley ina mengi ya kusisimua, ikiwa ni safari iliyoanzia Februari 6, 1945 na kufikia tamati...

Jeffrey Epstein; Mwalimu wa Hisabati aliyewaingiza matatani akina Trump

LOS ANGELES, Marekani WA sasa, siasa za dunia zinatikiswa na kile kinachoitwa 'mafaili ya Epstein'. Ni taarifa za siri zilizoibuka baada ya Jeffrey Epstein kufariki...

Beki auawa na mdogo wake wakigombea kiwanja

NAIROBI, Kenya NI mlinzi wa Kakamega Homeboyz ya Ligi Kuu nchini Kenya, Silas Abungana, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 25. Abungana (25), ameiaga dunia...

Simba yaandika barua Polisi ikiomba waliomkashfu MO washughulikiwe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KLABU ya Simba imeliandikia barua Jeshi la Polisi  ili kuwachukulia hatua za kisheria wanachama na mashabiki wa klabu hiyo  waliohusika...

Elon Musk avunja rekodi: Awa mtu wa kwanza duniani kumiliki zaidi ya dola bilioni 800

NEW YORK, Marekani Bilionea maarufu duniani, Elon Musk, ameweka historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki utajiri unaozidi dola bilioni 800, kufuatia hatua...

April Francis; Mrembo wa Wan-Bissaka anayekaribia kutupwa gerezani

LONDON, Uingereza JINA la April Francis limetikisa vichwa vya habari za michezo nchini Uingereza baada ya mpenzi huyo wa beki wa West Ham United, Aaron...

Recent articles

spot_img