Ads: info@gazetini.co.tz |
21.5 C
Dar es Salaam

Featured

Akon afunguka kumtema Drake kisa Wizkid

LOS ANGELES, Marekani SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amefichua sababu ya kuachana na Drake na kumsaini Wizkid kwenye lebo...

Mshindi Big Brother Naija kulamba Mil. 305/-

LAGOS, Nigeria WARATIBU wa Shindano la Big Brother Naija wametangaza msimu mpya wa 2026, huku wakitaja zawadi iliyovunja rekodi ya miaka iliyopita. Kwa msimu huu wa...

Joto halijapoa Rais kuongezewa muda Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameendelea kutetea hatua ya Bunge kubadilisha Katiba na kumpa nyongeza ya kubaki madarakani hadi mwaka 2030. Wakati huo huo,...

Kim, Eminem walianza utotoni, ndoa ikawashinda

LOS ANGELES, Marekani  MOJA ya stori zilizotikisa tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mke wa zamani wa rapa Eminem, Kim Scott, kukimbizwa hospitali. Katika tukio hilo...

Mabosi wapya wa Msuva hawacheki na makocha

Na mwandishi wetu, Gazetini SIYO habari mpya kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amejiunga na Newroz SC akitokea Al-Talaba, zote za Ligi Kuu...

Vita ya Ballon d’Or imenoga Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani NYOTA wanne kwa sasa ndiyo wanaokabana koo katika kuiwania tuzo ya mwaka 2026 ya Ballon d’Or kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la...

Wageni walivyoendeleza moto Bongo Star Search 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE msimu huu 16 wa Shindano maarufu la vipaji la Bongo Star Search umefikia ukomo kwa mwimbaji Praise Wisdom kuibuka mshindi. Mwanamuziki...

Marekani, Iran: Dunia bado gizani bei ya mafuta

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imefanya shambulizi la usiku kwa mara ya tatu huko Iran. Katika shambulizi la mwisho, watu wawili wamefariki huko Kusini-Magharibi mwa Iran,...

Porro: Kufuzu fainali ni ndoto iliyotimia

NEW YORK, Marekani BEKI wa Hispania na mchezaji bora wa mechi, Pedro Porro, amesema kufuzu kwa timu yake fainali ni ndoto aliyokuwa akiisubiri kwa muda...

WHO yaanza majaribio ya dawa ya kuzuia maambukizi ya ebola

DRC, Congo SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuanza kwa majaribio ya kwanza ya kitabibu ya dawa inayolenga kuzuia maambukizi ya Ebola kwa watu waliokaribiana...

Joshua atapona kwa huyu mwamba?

LOS ANGELES, Marekani BONDIA wa ngumi za uzito wa juu ambaye pia ni mshindi wa medali ya dhahabu katika michuano ya Olimpiki, Anthony Joshua, atapanda...

Andrey Santos; Jembe jipya ndani ya Old Trafford

MANCHESTER, Uingereza USAJILI wake umekamilika baada ya Manchester United kuipa Chelsea kitita cha Pauni milioni 48. Ni kiungo wa Kibrazil, Andrey Santos. Man United imeachana na...

Recent articles