Ads: info@gazetini.co.tz |
23.9 C
Dar es Salaam

Uncategorized

Nguvu ya wanawake Uchaguzi Mkuu Malawi

LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...

Kiungo Moussa  Conte rasmi atambulishwa Yanga

Na Mwandishi Wetu Mabingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania, Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Moussa Bala Conte...

Usky: Umri namba tu, nitamchakaza Dubois

LOS ANGELES, MarekaniKUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya...

Rais Samia kuzindua Dira ya Taifa ya 2050

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050, Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete...

Lissu awaambia wafuasi wake wajiandae akitoka ni mchakamchaka

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama Cha  Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaambia wasuasi na viongozi wa chama hicho  kuwa wajiandae  kwani  akitoka  ni mchakamchaka. Lissu amezungumza hayo leo Julai...

Trump akana kuisaidia Iran

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekana madai ya kuiwezesha Iran kiasi cha Dola bilioni 30 ili kitumike katika mpango wa nyuklia. Siku chache zilizopita, Shirika...

Maandamano ya kumng’oa Rais yashika kasi Serbia

MAELFU ya wanafunzi na wanaharakati nchini Serbia wameandama wakishinikiza uchaguzi mkuu wa haraka ili kumng'oa madarakani Rais Aleksandar Vucic. Huu ni mwendelezo wa miezi mingi...

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yatakiwa kutanua wigo wa kazi

Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa...

Rais Samia: Hatutatoa nafasi kwa wanaotaka kuvuruga amani ya Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

Tanzania, Zambia zakutana kujalidili  uimarishaji mpaka

Na Mwandishi Wetu Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Zambia kimeanza mkoani Songwe , kujadili mpango kazi wa uimarishaji mpaka wa...

Nzali Next Level kuendelea kupambania Injili ya Kiswahili Marekani, Flora Mayala kutikisa Dallas

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Mdau maarufu wa burudani nchini mwenye makazi yake nchini Marekani, Lonely Nzali, ameendelea kusapoti muziki wa Injili Afrika Mashariki kupitia majukwaa yake...

Watoto wanavyoyakabili mabadiliko ya tabianchi kwa kuotesha miti

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Watoto wa Tanzania wameonyesha juhudi kubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wakihusishwa moja kwa moja kupitia miradi ya mazingira inayotekelezwa...

Recent articles