WASHINGTON, MarekaniRAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas, amepigwa marufuku kuingia Marekani, hivyo atakosa nafasi ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN unaotarajiwa kufanyika...
KYIV, UkraineSHAMBULIZI la asubuhi ya leo lililofanywa na Urusi nchini Ukraine mjini Kyiv limesababisha vifo vya watu watatu, akiwamo mtoto.Aliyethibitisha kutokea kwa shambulio hilo...
LOS ANGELES, MarekaniWAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amekutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, ajenga ikiwa ni namna ya kumaliza mgogoro...
PARIS, UfaransaMLINDA mlango wa PSG na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, amekubaliana masilahi binafsi na klabu ya Manchester City.Donnarumma mwenye umri wa...
KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema wataendeleza vita na Urusi hadi pale majirani zao hao watakapoacha kuwakandamiza.Kauli ya Zelensky imekuja baada ya Urusi...
Na mwandishi wetu, GazetiniSERIKALI ya Afrika Kusini imekanusha kile kilichoelezwa na ripoti ya hivi karibuni ya Marekani, ikidai kuwapo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki...
Na mwandishi wetu, GazetiniHATUA ya wawakilishi wa M23 kutohudhuria mkutano wa kusaini mkataba wa amani kati yake na Serikali umeibua hofu, wengi wakiamini bado...
COLOMBO, Sri LankaRAIS wa zamani wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya rushwa, kwa mujibu wa taarifa ya polisi.Taarifa zinaeleza zaidi,...
JERUSALEM, IsraelWAZIRI wa Ulinzi wa Israel amesema watalisambaratisha eneo la Gaza endapo wapiganaji wa Palestina, Hamas, hawatasitisha mapigano.Mbali ya kutaka lisitishe mapigano, pia Waziri...
BOGOTA, ColombiaMAHAKAMA Kuu nchini Colombia imeagiza Rais wa zamani wa nchi hiyo, Alvaro Uribe, kuachiwa baada ya awali kuhukumiwa kifungo cha ndani cha miaka...
KYIV, UkraineKATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), Anders Fogh Rasmussen, haoni kama Urusi ina nia ya kurejesha...