Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imemhukumu Said Nawanje (20) mkazi wa Yombo Lukinga, wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu Faridi Mohamedi maarufu Sungusungu kifungo cha miaka 60 jela, kuchapwa viboko sita...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi imemtia hatiani na kumhukumu kifungocha maisha gerezani, mfanyabiashara Athuman Mtibwa (35) na kulipa kiasi cha fidia milioni...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela kinyozi wa saluni ya kiume, Lindwa Clement Balthazari (30), mkazi wa...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imekubali maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu la kujitetea mwenyewe katika...