Ads: info@gazetini.co.tz |
28.8 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Utafiti| Paka huwatazama binadamu kama paka wenzao

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Utafiti wa kipekee uliofanywa na mtaalamu wa mahusiano kati ya wanyama na binadamu (anthrozoologist) John Bradshaw kutoka Chuo Kikuu cha Bristol...

Mgombea urais aliyepigwa risasi afariki

BOGOTA, ColombiaMGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu ujao nchini Colombia, Miguel Uribe, amefariki akiwa na umri wa miaka 39 ikiwa ni miezi miwili tu imepita...

Nini kujadiliwa Mkutano wa Trump, Putin?

LOS ANGELES, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, atakutana na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Agosti...

Sesko: Mtambo wa mabao uliotua Old Trafford

MANCHESTER, UingerezaBAADA ya tetesi za muda mrefu, Manchester United imevunja kibubu na kuchomoa kitita cha Pauni milioni 74 kumsajili mpachikaji mabao wa kimataifa wa...

Staa mpya Liverpool abeba tuzo Ujerumani

MUNICH, UjerumaniMSHAMBULIAJI mpya wa Liverpool, Florian Wirtz, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ujerumani.Wirtz aliyetua Anfield kwa ada ya Pauni milioni 116,...

Waziri Mkuu jela miaka 20

N'DJAMEA, ChadALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Chad, Succes Masra, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani akishutumiwa kwa kuchochea ubaguzi wa rangi dhidi ya raia...

UN yaionya Israel kuhusu Gaza

LOS ANGELES, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limeitaka Israel kuacha mara moja mpango wake wa mpya wa 'kuuteka' Mji wa Gaza.Kauli...

Ajali yaua waliotoka msibani

NAIROBI, Kenya WATU 25 waliokuwa wakirejea kutoka msibani wamefariki baada ya basi walilokuwa wamepanda kupata ajali huko Magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya...

Bondia afariki baada ya kupigwa ‘KO’

TOKYO, JapanBONDIA raia wa Japan, Hiromasa Urakawa, amepoteza maisha ikiwa ni wiki moja tu tangu alipopoteza pambano lake kwa 'KO' mbele ya Yoji Saito.Pambano...

Rasheedat Ajibade: Staa Nigeria anayeitoa udenda PSG

PARIS, UfaransaKWA misimu minne mfululizo, Rasheedat Ajibade amekuwa mchezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Atletico Madrid na sasa PSG wanajaribu kuinasa saini ya...

Arsenal, City, Chelsea nani kuivua ubingwa Liverpool?

LONDON, EnglandMARA ya mwisho kwa Liverpool kuchukua mara mbili mfululizo taji la Ligi Kuu ya England (EPL) ni mwaka 1984. Je, watarudia maajabu hayo...

Kivuli cha rais kinavyoitesa Togo

LOME, TogoMIEZI mitatu iliyopita, siasa za Taifa la Togo zilitikiswa na hatua ya Rais Faure Gnassingbe kutangaza kujiuzulu. Tangu hapo, wadhifa huo umekuwa chini...

Recent articles