Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Ni kweli Iran inafadhili ugaidi au ni propaganda za Marekani?

TEHRAN, Iran MAREKANI inaitaja Iran kama mfadhili wa vikundi vyote vya kigaidi vilivyopo Mashariki ya Kati. Kwamba tangu ilipofanya mapinduzi mwaka 1979, imekuwa chanzo cha...

Usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa mkwe wa Rais Trump

WASHINGTON DC, Marekani ALIYEWAHI kuwa mke wa mtoto wa Rais Donald Trump aitwaye Donald Trump Jr, Vanessa, amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya matiti. Vanessa...

Vita vya Iran vinavyochochea uharamia wa meli Somalia

MOGADISHU, Somalia MAHARAMIA wanaoteka meli nchini Somalia wameripotiwa kunufaika na mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati ukizihusisha Marekani na Israel kwa upande mmoja na na Iran...

Nani kumrithi Guterres kiti cha Katibu Mkuu UN?

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, atamaliza muda wake Desemba, 2026, na tayari mbio za kusaka mrithi wake...

Kiti cha Katibu Mkuu UN: Nani alifaulu, nani alifeli?

NEW YORK, Marekani KATIBU Mkuu ndiyo cheo cha ngazi ya juu zaidi ndani ya Umoja wa Mataifa (UN) na kwa sasa kinashikiliwa na Waziri Mkuu...

Maambukizi ya Ebola yaongezeka DRC, vifo vyafikia 160

KINSHASA, DRC VISA vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola vineripotiwa kuongezeka na kuiweka kwenye hali mbaya sekta ya afya chini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

Kwa nini Putin, Trump wanapishana angani kuikimbilia China?

BEIJING, China ZIARA ya Vladmir Putin nchini China inakuja zikiwa ni siku chache tu tangu Donald Trump wa Marekani alipomaliza mkutano wake na Rais Xi...

Hali ya vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zambia

LUSAKA, Zambia ZAMBIA iko mbioni kuingia katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti, 2026, huku wanaharati wa haki za binadamu wakitilia shaka hali ya uhuru wa kutoa...

Huyu ndiye injini ya Iran anayeinyima usingizi Marekani

TEHRAN, Iran KABLA na hata wiki chache chache za mwanzoni mwa vita, Rais Donald Trump aliamini kuizima Iran na kuondosha uongozi ulioko madarakani ingechukua siku...

Vurugu, wanasiasa kutekwa, kuuawa kuelekea Uchaguzi Mkuu Colombia

BOGOTA, Colombia KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Mei 31, 2026, Colombia imekuwa kwenye mfululizo wa matukio ya vurugu, yakihusisha pia kutekwa na hata kuuawa kwa wanasiasa. Hali...

Seneta anayetakiwa ICC akamatwa Ufilipino

MANILA, Ufilipino SERIKALI ya Ufilipino imeagiza vyombo vya dola kumtia nguvuni Seneta wake aliyefunguliwa mashitaka na Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC), Ronald dela Rosa. ICC...

Vita ya Iran: Wakurdi walimsaliti Trump?

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump ameendelea kuwashutumu wapiganaji wa jamii ya Wakurdi akidai kuwa walificha silaha walizopewa na Marekani wakati wa maandamano makubwa ya...

Recent articles