TOKYO, JapanNI moja ya timu zilizofuzu na itakuwa miongoni mwa zile 48 zitakazokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwakani.Japan inashika nafasi ya...
LONDON, UingerezaARGENTINA inashika nafasi ya pili katika viwango vya ubora wa soka dunaini. Imeporomoka kwa nafasi moja kwani ilikuwa ya kwanza Julai, mwaka huu.'La...
LONDON, UingerezaKWA viwango vya sasa vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Uzbekistan inashika nafasi ya 50.Uzbekistan, maarufu kwa jina...
AMSTERDAM, UholanziTIMU ya soka ya taifa ya Uholanzi, maarufu kwa jina la 'Oranje', nayo itakwenda katika fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani.Uholanzi...
MANCHESTER, EnglandMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane, amesema alikataa ofa ya Manchester United kabla ya kutua Liverpool.Mane alijiunga na Liverpool mwaka 2016 kwa...
LONDON, UingerezaKIUNGO wa Arsenal, Martin Odegaard, amepona majeraha yake na huenda akaikabili Tottenham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England wa Jumapili ya wiki...
MANILA, UfilipinoMAHAKAMA Kuu nchini Ufilipino imemuhukumu kifungo cha maisha gerezani mwanasiasa maarufu na Meya wa zamani, Alice Guo.Guo aliyekuwa Meya wa Bamban, ameangukiwa na...
KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema Serikali yake iko tayari kushirikiana na Marekani katika jitihada za kumaliza mgogoro na Urusi.Hivi karibuni, Ikulu ya...
MADRID, HispaniaMWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Hispania, Alvaro Garcia Ortiz, ametakiwa na Mahakama Kuu kukaa kando baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya...
LONDON, UingerezaMACHI 31, mwakani, ndipo zitakapopatikana timu zote 48 zitakazoshiriki fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika katika mataifa matatu; Marekani, Canada na Mexico.Kufikia sasa,...
Na mwandishi wetu, GazetiniTIMU ya taifa ya Haiti nayo imefanikiwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwakani katika mazingira yaliyowashangaza wengi.Haiti, ambao hii...