Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Saudia ilivyobaki njiapanda vita vya Iran

RIYADH, Saudi Arabia SAUDI Arabia imebaki njiapanda. Tangu Marekani na Israel zilipoungana kuishambulia Iran, Saudia ilijiweka mbali na mgogoro huo. Haikutaka kujihusisha wala kuhusishwa. Hata hivyo,...

Wageni watakaza au watarudi ‘mchangani’ EPL 2026-27?

LONDON, Uingereza KAMA ilivyo kawaida, katika kila msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL), huwa kuna timu tatu zilizopanda daraja. Safari hii (2026-27), ni...

Vita ya makocha wapya EPL 2026-27

LONDON, Uingereza MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) utaanza Agosti 21, 2026, ukitarajiwa kumalizika Mei 30, 2027. Ni msimu wa 35 tangu michuano...

Mjukuu wa Idi Amin na ndoto za ‘kuiteka’ dunia

KAMPALA, Uganda NDOTO kubwa aliyonayo Aziz Abdul, ambaye ni mjukuu wa Rais wa zamani wa Uganda, Idi Amin, ni kuiteka dunia kupitia mchezo wa ngumi....

IRGC: Hormuz haitafunguliwa vitisho dhidi ya Iran vikiendelea

TEHRAN, Iran Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetangaza kuwa Mlango Bahari wa Hormuz hautafunguliwa kikamilifu ikiwa vitisho vya kijeshi na...

Ajali ya pikipiki yaua staa wa muziki

DUBLIN, Ireland SUPASTAA wa muziki nchini Ireland, Glen Hansard, amepoteza Maisha katika ajali ya pikipiki mjini Dublin. Hansard (56), ambaye ni mshindi wa tuzo za Oscar,...

Kesi kifo cha Tupac bado ya moto

LOS ANGELES, Marekani MAHAKAMA mjini Nevada, Marekani, imetaka mahojiano ya mtuhumiwa wa mauaji ya rapa Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' yawasilishwe kama ushahidi wakati...

Klabu 5 zinazomsubiri Ferran Torres

LONDON, Uingereza KATIKA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizomalizika hivi karibuni, Ferran Torres ndiye aliyefunga bao pekee lililoipa ubingwa timu ya...

Vita vinavyozitajirisha kampuni za AI

Na mwandishi wetu, Gazetini MSEMO wa 'vita ni akili' umedhihirishwa na namna mataifa mengi, hasa makubwa kiuchumi, yanavyotumia akili-unde (Artificial Intelligence - AI) kuwadhibiti wapinzani...

Italia ya ‘mababu’ Mancini, Ranieri itavuna nini?

MILAN, Italia ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...

Umeipata hii? J-Lo ndani ya penzi jipya

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina na mafanikio makubwa kwenye soko la muziki nchini Marekani, Jennifer Lopez 'J-Lo', amenasa kwa mshikaji anayefahamika kwa jina la...

Keyshia Cole, Skrilla mambo kwa ushahidi!

LOS ANGELES, Marekani PICHA zinazowaonesha mastaa wa muziki Keyshia Cole na Skrilla zimeibua tetesi kuwa huenda wawili hao sasa ni wapenzi. Katika moja ya picha alizoposti...

Recent articles