Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Featured

ANC imepoteza ushawishi siasa za Afrika Kusini?

Na mwandishi wetu, Gazetini VURUGU na chuki dhidi ya wageni zina uhusiano wa moja kwa moja na maisha magumu walionao wananchi wa Afrika Kusini katika...

Chama tawala kilichogeukia siasa za upinzani

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI fulani, Peoples Democratic Party (PDP) kilikuwa Chama tawala nchini Nigeria. Chama kikongwe kilichoasisiwa mwaka 1998. Kwa miaka 16, kabla ya kuangushwa...

Rais Bola Tinubu kurudi madarakani?

LAGOS, Nigeria KAMPENI kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Januari, 2027, zilianza wiki hii nchini Nigeria. Rais aliyeingia madarakani mwaka 2023, Bola Tinubu, anagombea muhula wake wa...

Umiliki wa silaha kwa raia tatizo sugu Thailand

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU tatu tu baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kuua wenzake nane kwa kuwamiminia risasi, lilitokea tukio jingine lenye...

Fernandes acharuka kisa kipigo

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, amewajia juu wachezaji wenzake akisema kupoteza hovyo mipira kulisababisha timu hiyo kufungwa mabao 2-0 na Hull City. Timu...

Messi atozwa faini kwa kumpiga mtu kofi

MIAMI, Marekani SUPASTAA wa Inter Miami, Lionel Messi, ametozwa faini kwa kosa la kumpiga kofi nyota wa Philadelphia Union, Quinn Sullivan. Mbali na Messi, Ian Fray...

Infantino aambiwa akae mbali na watoto

NYON, Uswis RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametakiwa kutokuhudhuria michuano ya soka ya U-14 inayofanyika nchini Jamhuri ya Dominica. Ushauri huo...

Goretzka anukia Aston Villa

LONDON, Uingereza KLABU ya Aston Villa iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo aliyeondoka Bayern Munich raia wa Ujerumani, Leon Goretzka. Goretzka anapatikana...

Simba yaifyekelea mbali Singida Black Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi yake ya tatu msimu huu wa Ligi Kuu Bara baada ya kuifunga Singida Black...

Samia azindua JNHPP, asema si ‘White Elephant’, una manufaa

Na Faraja Mulungu Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) si...

Lissu awaita Rais Samia, Mpango mahakamani

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewataja Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu,...

Lissu akutwa na kesi ya kujibu

Na mwandishi wetu, Gazetini MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,...

Recent articles