Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Featured

Man City kung’olewa Ligi ya Mabingwa?

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City huenda ikatolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya endapo itakwama katika rufaa yake.Man City imekata rufaa dhidi ya...

Ukraine imeishika pabaya Urusi

KYIV, Ukraine ALIYEKUWA Mkuu wa Majeshi wa Ukraine, Oleksandr Syrskyi, amedai kuwa kwa sasa maadui zao, Urusi, wameishiwa pumzi kwenye uwanja wa vita. Jenerali Syrskyi ameeleza...

Waziri wa Saudia awalaani Houthi

RIYADH, Saudi Arabia WAZIRI wa Nishati wa Saudi Arabia, Abdul Aziz bin Salman, amelaani mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Kundi la Houthi la Yemen. Houthi wanaishambulia...

Mechi za Argentina zilizompa ‘kiki’ Messi

LONDON, Uingereza SIKU chache zilizopita, Lionel Messi aliwaaga mashabiki wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina. Alicheza mechi yake ya mwisho. Argentina dhidi ya...

Conte kuchukua mikoba ya Carrick

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United inaweza kumgeukia Antonio Conte endapo itafikia ukomo wa kumvumilia kocha wa sasa, Michael Carrick. Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, klabu...

Wenger: Afrika itatwaa Kombe la Dunia

PARIS, Ufaransa MKUU wa Maendeleo ya Soka wa Shirikisho la mchezo huo duniani , Arsene Wenger, ameitaka Afrika kutwaa Kombe la Dunia. Wenger, kocha wa zamani...

Allardyce apongeza ‘CR7’ kushughulikiwa

LONDON, Uingereza KOCHA wa zamani wa Bolton, Sam Allardyce, amepongeza kitendo cha staa wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, kuondoshwa kikosini. Allardyce amemtaja kocha...

Jezi ya Jordan yauzwa bil. 36/-

LOS ANGELES, Marekani MICHAEL Jordan ni mmoja ya mastaa wakubwa kuwahi kutokea katika historia ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani . Sasa, jezi aliyoitumia katika...

Alonso akazania dili la de Jong

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, ameendelea kuwashinikiza mabosi wa klabu yake kumsajili kiungo wa Barcelona raia wa Uholanzi, Frenkie de Jong. Hata hivyo, Blues...

Baba: Merino yupo sana Arsenal

LONDON, Uingereza BABA mzazi wa kiungo wa Arsenal, Mikel Merino, amezipuuzia tetesi zinazomuhusisha mtoto wake na Real Madrid, akisisitiza kuwa ataendelea kukipiga Emirates. Merino mwenye umri...

Villa macho yote kwa Endrick

LONDON, Uingereza KLABU ya Aston Villa imeanza harakati za kumsajili mshambuliaji wa Kibrazil anayekipiga Real Madrid, Endrick. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20, ameingia kwenye...

United kumaliza ‘uteja’ kwa Atletico?

LONDON, Uingereza MANCHESTER United watakuwa ugenini mjini Madrid leo Oktoba 12, 2026 kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Watatifuana na Atletico Madrid, huku rekodi...

Recent articles