WAGADUGU, Burkina Faso
SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kuzuiwa kwa njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo, Kapteni Ibrahim Traoré.
Kwa mujibu wa Waziri...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RAIS Donald Trump ameweka wazi kuwa Marekani inakihitaji kwa namna yoyote ile kukiweka chini ya himaya yake Kisiwa cha Greenland.
Kauli hiyo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KUTOKA maisha ya 'kuungaunga' katika makazi ya watu wa kipato cha chini mjini Kampala, na sasa ni mwanasiasa maarufu na anayempa...
LONDON, Uingereza
UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior.
Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...
MADRID, Hispania
MSHAMBULIAJI Kylian Mbappe amebaki nyumbani wakati kikosi cha Real Madrid kiliposafiri kwenda Saudi Arabia kwa mchezo wao wa Spanish Super Cup.
Madrid watakuwa nchini...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) uliofanyika hivi karibuni wameyakataa matokeo yaliyotangazwa...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imemtangaza, Liam Rosenior kuwa kocha mpya atakayechukua mikoba ya Enzo Maresca.
Rosenior amejiunga na Chelsea akitokea Strasbourg, ambayo pia inamilikiwa na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya kazi...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imejitosa kuiwania saini ya beki wa Newcastle United, Tino Livramento, ambaye pia anaitoa udenda Manchester City.
Livramento aliibuliwa na 'academy' ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANGU aliporejea madarakani kwa awamu yake ya pili, Rais Donald Trump amekuwa na sera zake ngumu dhidi ya mataifa ya kigeni....
CARACAS, Venezuela
DELCY Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha Bunge kilichoanza kwa wito wa kumwachilia huru rais aliyeondolewa madarakani na...
MANCHESTER, Uingereza
NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, anaamini Darren Fletcher anatosha kuibeba timu hiyo baada ya Ruben Amorim kutimuliwa.
Amorim amefutwa kazi baada...