Na mwandishi wetu, GazetiniKWA upande mmoja, Ibrahim Traore wa Ivory Coast anatajwa kuwa ni shujaa, akionekana kuwa ni mtetezi halisi wa Bara la Afrika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ametangaza kuachana na majukumu hayo na kumteua Crescentius Magori kuchukua nafasi...
LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...
Na Mwandishi Wetu
Mabingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania, Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Moussa Bala Conte...
LOS ANGELES, MarekaniKUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050, Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete...
Na Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaambia wasuasi na viongozi wa chama hicho kuwa wajiandae kwani akitoka ni mchakamchaka.
Lissu amezungumza hayo leo Julai...
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekana madai ya kuiwezesha Iran kiasi cha Dola bilioni 30 ili kitumike katika mpango wa nyuklia.
Siku chache zilizopita, Shirika...
MAELFU ya wanafunzi na wanaharakati nchini Serbia wameandama wakishinikiza uchaguzi mkuu wa haraka ili kumng'oa madarakani Rais Aleksandar Vucic.
Huu ni mwendelezo wa miezi mingi...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Na Mwandishi Wetu
Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Zambia kimeanza mkoani Songwe , kujadili mpango kazi wa uimarishaji mpaka wa...