NAIROBI, KenyaTAARIFA kutoka India alikokuwa akiendelea na matibabu zimeeleza kuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ameiaga dunia.Odinga (80), amefariki kwa shambulio la...
DOHA, QatarHII inakuwa mara ya pili kwa Qatar kushiriki Kombe la Dunia lakini ni mara ya kwanza kukata tiketi kupitia mechi za kufuzu.Ikumbukwe, Qatar...
CAIRO, MisriVIGOGO wa soka la Afrika Magharibi, Ivory Coast na Senegal, zimekata tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani.Senegal 'Simba...
LISBON, UrenoBAADA ya kufunga mabao mawili jana, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji aliyepasia nyavu mara nyingi katika historia ya mechi za kufuzu fainali za Kombe...
ANTANANARIVO, MadagascarJESHI nchini Madagascar limethibitisha kuingia Ikulu na kuchukua rasmi majukumu ya kuunda Serikali ili kuiongoza nchi hiyo.Ikumbukwe, taarifa hiyo inakuja baada ya Rais...
GAROUA, CameroonMGOMBEA wa urais kupitia upinzani, Issa Tchiroma, amejitangaza kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 12, mwaka huu.Hata hivyo, wakati Tchiroma akichukua hatua...
ANTANANARIVO, MadagascarRAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameibuka na kusema yuko sehemu salama zaidi na si Ikulu ili kunusuru maisha yake baada ya kushitukia mpango...
Na mwandishi wetu, GazetiniNI ukweli usiopingika kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, ameumizwa na kitendo cha kutoitia mkononi tuzo ya Amani ya Nobel ya...
YERUSALEMU, Israel
Wapenzi wa Israel walioitwa ‘Romeo na Juliet’ wameungana tena baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutenganishwa na mashambulizi ya Hamas.
Noa Argamani, aliyekuwa...
During the “2025 World Women’s Peace Conference” held at Enford Hotel in Cheongju, Chungbuk, the International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2 (Director...
SHANGHAI, ChinaMASTAA wawili wa mchezo wa tenesi, Novak Djokovic na Daniil Medvedev, wameshindwa kutinga fainali ya michuano ya Shanghai Masters.Katika mchezo wa nusu fainali...