Na mwandishi wetu, GazetiniNI ukweli usiopingika kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, ameumizwa na kitendo cha kutoitia mkononi tuzo ya Amani ya Nobel ya...
YERUSALEMU, Israel
Wapenzi wa Israel walioitwa ‘Romeo na Juliet’ wameungana tena baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutenganishwa na mashambulizi ya Hamas.
Noa Argamani, aliyekuwa...
During the “2025 World Women’s Peace Conference” held at Enford Hotel in Cheongju, Chungbuk, the International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2 (Director...
SHANGHAI, ChinaMASTAA wawili wa mchezo wa tenesi, Novak Djokovic na Daniil Medvedev, wameshindwa kutinga fainali ya michuano ya Shanghai Masters.Katika mchezo wa nusu fainali...
LONDON, UingerezaKIUNGO wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere, huenda akatangazwa kuwa kocha mkuu wa Luton Town ya Ligi Daraja la Pili ya England.Luton wameuanza...
LONDON, UingerezaKATIKA mechi saba pekee za mwanzoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL), Erling Haaland ameshaifungia Manchester City jumla ya mabao...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa zamani wa Marekani, Joe Biden, ameanza matibabu ya saratani ya tezi dume aliyogundulika kuwa nayo tangu Mei, mwaka huu. Kwa...
JONANNESBURG, Afrika KusiniIJUMAA ya wiki hii, mabosi wa klabu ya Kaizer Chiefs walifikia makubaliano ya kutangaza kumfuta kazi Nasreddine Nabi.Kocha huyo wa kimataifa wa...
JERUSALEM, PalestinaKATIKA kile kinachotafsiriwa kuwa ni hatua nzuri katika kumaliza mgogoro wa Gaza, wanajeshi wa Israel wameanza kuondoka katika Ukanda huo.Kurejea nyumbani kwa wanajeshi...
MADRID, HispaniaMVUA kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko zimeathiri safari za ndege nchini Hispania.Kwa mujibu wa taarifa, mafuriko hayo yameikumba mikoa ya Kusini-Mashariki mwa...
WASHINGTON DC, Marekani
IKULU ya Marekani imeikosoa Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel ikisema haitendi haki katika kutangaza washindi. Kwa mujibu wake, tuzo ya...
KYIV, UkraineMAENEO mengi ya Mji Mkuu wa Kyiv yamekosa umeme kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na Urusi nchini Ukraine.Mamlaka za Kyiv zimeeleza kuwa licha ya...