Ads: info@gazetini.co.tz |
30.3 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Aubameyang afunga manne, alimwa nyekundu

BANJUI, GambiaKATIKA mchezo wa jana, straika Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mabao yote katika ushindi wa 4-3 wa timu yake ya taifa ya Gabon dhidi ya...

Bafana Bafana kufuzu au kukosa Kombe la Dunia 2026?

DURBAN, Afrika KusiniMASHABIKI wa timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' walijikuta kwenye majonzi baada ya 'chama' lao kulazimishwa suluhu na Zimbabwe katika...

Mahrez atangaza kustaafu soka mwakani

ALGIERS, AlgeriaMSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Algeria, Riyad Mahrez, ameweka wazi kuwa fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakuwa za mwisho katika maisha...

Safari ya Xiaomi kuelekea nguvu ya teknolojia ya Dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Miaka michache tu iliyopita, jina Xiaomi lilikuwa geni kwa wengi nje ya China. Lakini leo, jina hilo limegeuka kuwa alama ya...

Ronaldo mwanasoka wa kwanza bilionea

RIYADH, Saudi ArabiaMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameandika historia ya kuwa bilionea wa kwanza kwa upande wa wachezaji mpira wa miguu.Hiyo ni...

Neymar ana nafasi Kombe la Dunia 2026?

RIO, BrazilWAKATI Ousmane Dembele anaitwaa tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or, Neymar alikuwa kitandani akisikilizia maumivu ya upasuaji. Ni majeraha yake ya tatu...

Kasi matumizi ya shisha kwa vijana yaishitua WHO

Na mwandishi wetu, GazetiniHUKU idadi ya vijana wanaovuta shisha ikifikia milioni 15 duniani kote, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limezionya kampuni...

Depay aibiwa hatia ya kusafiria

AMSTERDAM, UholanziMFUNGAJI bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uholanzi, Memphis Depay, amekosekana kikosini kutokana na mkasa wa kuibiwa hati ya kusafiria.Kwa...

Kane akanusha kurudi England, ataka mkataba Bayern

MUNICH, UjerumaniMPACHIKAJI mabao wa Bayern Munich, Harry Kane, amesema si kweli kwamba atarudi Ligi Kuu ya England, na badala yake anataka kusaini mkataba mpya...

CAF: Maandamano ya Morocco hayazuii Afcon

CAIRO, MisriSHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limesisitiza kuwa fainali za mwaka huu za AFCON zitafanyika Morocco, licha ya hali tete ya usalama nchini humo.Maandamano...

Wakongwe wa soka matatani dawa za kulevya

HARARE, ZimbabweWAKONGWE wa Ligi Kuu ya soka ya Zimbabwe, Abas Amidu na Reuben Mhlanga, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya...

Gerrard kupewa tena mikoba Rangers?

EDINBURGH, ScotlandHUENDA mabosi wa Rangers ya Scotland wakamrejesha kwenye benchi la ufundi kocha wao wa zamani, Steven Gerrard.Mkongwe huyo wa Liverpool mwenye umri wa...

Recent articles