Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na migogoro ya...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65 baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Lungu amefariki akita latina matibabumaalum kwenye...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre ambapo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya...
Na Mwandishi Wetu
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, leo Alhamisi Juni 5, 2025, ametangaza kujiunga na Chama cha...
Na Mwandishi Wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa rai kwa wafamasia nchini kuendelea kulipa kipaumbele suala la...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili, 2025, Bodi ya
Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Sh 17.42 bilioni ...
Na Mwandishi Wetu
Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini.
Hayo yamesemwa na...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameliomba Bunge la Tanzania kuidhinisha Sh 20.19 trilioni kwa ajili ya bajeti ya wizara hiyo kwa...
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa...