LOS ANGELES, MarekaniMWANAMUZIKI wa Hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, ameiunga mkono kauli ya Rais Donald Trump aliyedai kuwa waumini wa Dini ya Ukiristo...
KYIV, UkraineWATU takribani 26, wakiwamo watoto watatu, wamepoteza maisha katika shambulizi la Urusi nchini Ukraine.Vifo hivyo vimetokana na shambulizi la ndege isiyo na rubani...
MANCHESTER, UingerezaMKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, amewataja wachezaji watatu wanaomvutia msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL).Akihojiwa hivi karibuni, Rooney alianza kwa...
LONDON, UingerezaUPEPO unavuma vibaya kwa Jonathan Barnett, ambapo wakala huyo wa soka anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji mjini London.Kwa mujibu wa kile kilichoelezwa mahakamani,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kali kuhusu kuongezeka kwa usugu wa bakteria wanaosababisha kisonono dhidi ya dawa muhimu zinazotumika...
RIO, BrazilMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Brazil, Neymar, atakuwa mchezaji huru katika usajili wa dirisha dogo la usajili hapo Januari, mwakani. Mkataba wake na Santos...
PRETORIA, Afrika KusiniAFRIKA, kama ilivyo kwa mabara mengine duniani, imeendelea kuwekeza katika elimu ya juu, ikishuhudia mamilioni ya wahitimu wa vyuo vikuu wakiingia kwenye...
LONDON, UingerezaBAADA ya tetesi nyingi na za muda mrefu, sasa ni rasmi kuwa Anthony Joshua na Jake Paul watapanda ulingoni kurushiana makonde.Ni pambano la...
MANCHESTER CITY, UingerezaNDOTO imetimia! Mshambuliaji wa kati wa Manchester City, Erling Haaland, atacheza kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia wakati timu yake ya...