Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Usichokijua mazungumzo ya Rais Trump, Mfalme wa Saudi Arabia

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA mara ya kwanza tangu kusitishwa kwa mapigano kati ya Israel na Palestina katika Ukanda wa Gaza, Mfalme wa Saudi Arabia,...

Kilichomponza Waziri Mkuu aliyehukumiwa kifo

Na mwandishi wetu, GazetiniWAZIRI Mkuu wa zamani wa Bangladesh, Sheikh Hasina, amehukumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya uhalifu dhidi ya...

Ukiacha Messi, hawa nao wanakipiga Ligi Kuu ya Marekani

LONDON, UingerezaKWA miaka mingi ya hivi karibuni, Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imekuwa ikipokea wachezaji wenye majina makubwa kutoka katika klabu za barani Ulaya,...

Kocha Nigeria: DRC walitumia uchawi kutufunga

RABAT, MoroccoBAADA ya timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kufungwa na DRC, kocha wake, Eric Chelle, ameibua shutuma nzito dhidi ya...

Waziri Mkuu Bangladesh ahukumiwa kifo

DHAKAN, BangladeshALIYEKUWA Waziri Mkuu waBangladesh, Sheikh Hasina, amehukumiwa kifo kutokana na mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu.Sheikh Hasina anatajwa kuamrisha vyombo vya dola kutekeleza...

Historia ya Afrika na tuzo ya Amani ya Nobel

Na mwandishi wetu, GazetiniTANGU kuanzishwa kwake mwaka 1901, Tuzo ya Amani ya Nobel imekuwa ikiheshimiwa duniani kote, ikitambua jitihada za watu au taasisi katika...

Afrika Kusini kinara matumizi ya mtandao duniani

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI mpya umeitaja Afrika Kusini kuwa ndiyo nchi ambayo wananchi wake wanatumia muda mwingi mitandaoni.Ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya...

Mbappe na mabao 400, rekodi kibao Ulaya

MADRID, HispaniaKABLA ya kusajiliwa na Real Madrid, Kylian Mbappe alishafunga mabao 329 na kutwaa mataji 17 katika maisha yake ya soka.Ikumbukwe, Mbappe bado ni...

Maandamano kupinga mauaji ya Meya yaendelea Mexico

MEXICO City, MexicoBADO maelfu ya raia wa Mexico wameendelea kuingia barabarani wakishinikiza mabadiliko makubwa kwenye vyombo vya usalama.Ikumbukwe, hasira za waandamanaji, ambao wengi wao...

Amorim sasa amgeukia Anderson

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amewataka mabosi wa klabu hiyo kufanikisha usajili wa kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson.Awali, Man United walikuwa...

Beki Arsenal aumia akiwa kikosini Brazil

RIO, BrazilKOCHA wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema beki wake, Gabriel, atafanyiwa vipimo baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya...

DRC, M23 zasaini mkataba wa amani

DOHA, QatarSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imesaini mkataba wa amani na wapiganaji wa Kundi la waasi la M23 mjini Doha, Qatar.Ifahamike...

Recent articles