Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amegoma kuanika mbinu za kiufundi atakazozitumia katika mchezo wao dhidi ya Yanga.
Timu hizo zitakutana kesho...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MFUKO wa Barabara (RFB) umesema tozo zinazotozwa kwenye mafuta ya petroli na dizeli ndizo chanzo kikuu cha fedha zinazowezesha matengenezo ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
GEITA Gold haijatinga Ligi Kuu Bara kinyonge, na badala yake imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Bara (Championship) ikiwa na...
WASHINGTON DC, Marekani
IDADI ya vifo vya wahamiaji wanaoshikiliwa katika magereza nchini Marekani imeongezeka mara dufu tangu Rais Donald Trump aliporejea madarakani.
Kwa mujibu wa Gazeti...
MANCHESTER, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, amesema Cristiano Ronaldo hastahili kuwa kiongozi wa safu ya ushambuliaji ya timu ya soka ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HIVI karibuni, rapa wa Marekani, Nicki Minaj, alitoa kauli tata kuhusu soko la muziki, akisema limejaa vishawishi vinavyoweza kukutoa kwenye imani...