MUNICH, Ujerumani
KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amewataja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuwa ndiyo wachezaji bora duniani kwa sasa.
Klopp amesema siyo ishu...
MANCHESTER, Uingereza
BABA mzazi wa Erling Haaland, Alfie Haaland, amesema hakuna kocha wa kufikia daraja la Pep Guardiola.
Alfie ametoa kauli hiyo baada ya Man City...
LOS ANGELES, Marekani
HIVI karibuni, Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) lilimtia mkononi mfanyabiashara maarufu, Ibrahim Khaldoon Hilmi, aliyekuwa akikimbia kukamatwa kwa miaka mingi.
Khaldoom Hilmi...
JERUSALEM, Israel
WANAHARAKATI wa haki za binadamu duniani wanataka kuona Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ikiichunguza Israel juu ya uhalifu dhidi ya...
LONDON, Uingereza
MKONGWE Alan Shearer ametaja 'first eleven' inayoweza kuipa ubingwa wa msimu wa Kombe la Dunia timu ya soka ya Taifa ya England.
England chini...
Na mwanishi wetu, Gazetini
KATIKA utekelezaji wa Dira 2050, Mfumo mpya wa Kitaifa wa kusimamia Mipango na Miradi ya Maendeleo wa e-Delivery wa Tume ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BANDARI ya Dar es Salaam imeibuka kinara wa ufanisi wa huduma za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kupanda...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imeitangazia ushindi familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika rufaa yake dhidi...
LONDON, Uingereza
STRAIKA wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi.
Wakati Barcelona wakiwa wanapewa nafasi kubwa, zipo...