KAMPALA, Uganda
YOWERI Museveni anayewania muhula wake wa saba madaakani anaongoza katika majibu ya awali ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika jana.
Kwa mujibu wa matokeo...
RABAT, Morocco
LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake.
Misri...
RABAT, Morocco
USHINDI wa bao 1-0 waliopata Senegal dhidi ya Misri imeendeleza mkosi kwa Mohamed Salah katika ndoto yake ya kutwaa ubingwa wa fainali za...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KLABU ya Yanga leo Alhamisi Januari 15, 2026, imemtambulisha straika wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurelio ‘Depu’, kupitia kurasa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI Ijumaa, Januari 16, 2026, ambapo timu hizo zitakutana zikiwa 'zinapumulia mashine' msimu huu wa Ligi Kuu Bara. Dodoma Jiji, wenyeji...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BALOZI wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu leo amekutana na wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Comoro ambao wameipongeza...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera na Kusaini Mikataba ya...
MAPUTO, Msumbiji
JINA lake ni Rosita Salvador Mabuiango lakini wengi nchini Msumbiji wanamwita 'Mtoto wa Muujiza' kutokana na alivyozaliwa wakati mama yake akiwa juu ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MALARIA imeendelea kuwa changamoto kubwa barani Afrika, huku mataifa ya Nigeria, Jamhuri ya Kidemokrasia ya (DRC), Niger na Tanzania yakitajwa kuteswa...
MANCHESTER, Uingereza
HATIMAYE Manchester United imetangaza kuwa kiungo wake wa zamani, Michael Carrick, ndiye atakayeinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu.
Je, Carrick atafanikiwa au...