2–3 September 2026 | Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds, Dar es Salaam, Tanzania
Africa's agriculture, livestock, and food processing sectors are entering a new...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIBu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, John Mnyika, amesema chama hicho pamoja na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, hadi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKALA wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasimamia Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, ambao umeisaidia Serikali kuhakikisha bidhaa za mafuta...
TEHRAN, Iran
LENGO ni moja tu, kuhakikisha dunia inatambua na kuheshimu nguvu ya Iran, hasa dhidi ya Marekani na washirika wake, ikiwamo Israel. Katika hili,...
JERUSALEM, Palestina
KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya...
CARACAS, Venezuela
SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya...
LAGOS, Nigeria
KWA miaka mingi sasa, Nigeria imegubikwa na matukio ya uhalifu katika maeneo yake mengi. Watu takribani 3,000 wametekwa kwa kipindi cha mwaka mmoja...
NAYPYIDAWA, Myanmar
KWA wananchi wa Myanmar, siasa zinawapitisha katika ukurasa mpya uliojaa machungu ya kukimbia nyumba na familia zao ili kujinusuru na utawala wa kijeshi...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema wanatarajia kukaa mezani na viongozi wa Iran kujadili mustakabali wa vita vyao vilivyoanza Febrauri 28, 2026.
Kwa...
ATHENS, Ugiriki
AJALI ya helikopta mbili za kukabiliana na majanga ya moto zilizogongana nchini Ugiriki imesababisha vifo vya wafanyakazi wake wawili.
Katika ajali hiyo iliyotokea wakati...
CARDIFF, Wales
WALES imekuwa nchi ya kwanza kutangaza kutokumuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, katika mpango wake wa kuwania...
CHICAGO, Marekani
LIVERPOOL chini ya kocha mpya, Andoni Iraola, imetandikwa mabao 4-2 na Leeds United katika mchezo wao wa mwisho wa maandalizi ya msimu ujao...