LONDON, Uingereza
MSIMU wa Ligi Kuu ya England (EPL) umeshuhudia teknolojia ya VAR ikifanya makosa mengi, hivyo kuwaingiza 'chaka' waamuzi na kuzigharimu timu mbalimbali.
Kwa mujibu...
MADRID, Hispania
KIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, amekanusha kuwa alihusika kuushawishi uongozi wa klabu hiyo kumfuta kazi kocha Xabi Alonso.
Alonso raia wa Hispania, alifungashiwa...
KAMPALA, Uganda
KUELEKEA Januari 15, 2026, ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda, Serikali nchini humo inayoongozwa na Rais Yoweri Museveni imeagiza kuzimwa kwa...
LONDON, Uingereza
ALIKUWA na mchango mkubwa wakati Liverpool ilipokuwa ya moto chini ya kocha wa kimataifa wa Ujerumani, Jurgen Klopp.
Liverpool iliyotwaa taji la Ligi Kuu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
YANGA imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ikiifunga Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5-4 katika mchezo wa fainali uliopigwa Januari...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NYOTA wa zamani wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ametambulishwa rasmi na klabu ya Mbeya City akiwa miongoni mwa...
CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imetangaza usajili wa beki wake wa zamani, Joao Cancelo, na tayari amekabidhiwa jezi namba 2.Barcelona imemchukua nyota huyo kwa mkopo...
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Madrid, Xabi Alonso, amewataka mabosi wa klabu hiyo kuharakisha usajili wa beki wa Tottenham, Cristian Romero.
Romero ndiye mchezaji anayelipwa mshahara...
MADRID, Hispania
KLABU ya Real Madrid ya Hispania leo Jumatatu, Januari 12, 2026, imethibitisha kuachana na kocha wake mkuu, Xabi Alonso, baada ya pande zote...
YOUNDE, Cameroon
KIWANGO kibovu katika kipindi cha kwanza cha mchezo wao dhidi ya Morocco ndicho kilichoigharimu timu ya taifa ya Cameroon, kwa mujibu wa Bryan...