LONDON, Uingereza
IDADI ya majeruhi na miili ya waliopoteza maisha imeongezeka kwa kasi, hivyo baadhi ya hospitali kuzidiwa. Ni nchini Iran, ambako maandamano yameendelea kushika...
MANCHESTER, Uingereza
JINA la Oliver Glasner wa Crystal Palace linapewa kipaumbele wakati huu mabosi wa Manchester United wakiwa wanajadili kocha anayefaa kuchukua mikoba ya Ruben...
LONDON, Uingereza
ARSENAL sasa imeingia mazima katika kuiwania saini ya kinda wa Blackburn Rovers, Igor Tyjon. Nyota huyo raia wa England ana umri wa miaka...
MANCHESTER, Uingereza
USHINDI wa mabao 10-1 dhidi ya Exeter City umeifanya Manchester City kuvunja rekodi ya Liverpool iliyodumu kwa miaka 66.
Man City ya kocha Pep...
RABAT, Morocco
WEKA kando nusu fainali ya Senegal na Misri. Nigeria dhidi ya Morocco ni vita nyingine kali ya kuisaka tiketi ya kuingia fainali msimu...
WASHINGTON DC, Marekani
VIKOSI vya Marekani vimeyashambulia yaliyotajwa na Rais Donald Trump kuwa ni makazi ya magaidi wa Kundi la IS nchini Syria.
Kwa mujibu wa...
ADIS ABABA, Ethiopia
SHIRIKISHO la Soka la Ethiopia (EFF) limetuma maombi ya kuziandaa fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka 2028.
Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...
MERSEYSIDE, Uingereza
LIVERPOOL imefikia makubaliano na Dominik Szoboszlai, hivyo kiungo huyo atasaini mkataba mpya klabuni hapo.
Szoboszlai alitua Anfield mwaka 2023 baada ya kuonesha kiwango bora...
RABAT, Morocco
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Morocco, Brahim Díaz, amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kufunga bao...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme wa Jua unaotekelezwa Kishapu, mkoani Shinyanga, uko katika hatua za mwisho...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KILA ifikapo Desemba ya kila mwaka, maandalizi na shamrashamra za Sikukuu ya Krismas huonekana wazi katika maeneo mengi duniani.
Tofauti na miezi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KIINGEREZA kimeendelea kuwa lugha yenye ushawishi mkubwa duniani, ikitajwa kuwa ndiyo iliyokuwa na wazungumzaji wengi zaidi kwa mwaka 2025.
Ni kwa mujibu...