28.1 C
New York

Gullit: Rashford atatesa sana msimu ujao EPL

Published:

LONDON, Uingereza

KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Ruud Gullit, amemtabiria makubwa Marcus Rashford akisema straika huyo atafanya makubwa msimu ujao (2026-27) wa Ligi Kuu ya England (EPL).

Rashford amerejea Manchester United baada ya kumaliza mkopo wake katika klabu ya Barcelona majira haya ya kiangazi.

Barcelona walitarajiwa kuweka mezani Pauni milioni 26 ili kumbakiza lakini waliamua kumruhusu kuondoka, kisha kumsajili Anthony Gordon kutoka Newcastle United.

Akimzungumzia Rashford, Gullit amesema: “Marcus Rashford unaweza kuwa usajili mkubwa zaidi (EPL).

“Alijifunza mengi akiwa Barcelona na alicheza vizuri sana alipopewa uhuru kuliko aliokuwa nao Manchester United.”

Related articles

Recent articles