Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba asili na mbadala na kuzitumia tafiti hizo ili zilete mchango kwenye sekta...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao.
“Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema amesema kuwa mwaka huu Serikali inatarajia kujenga mradi mkubwa wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bodi ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na...
By Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil
President Samia Suluhu Hassan has rekindled the enduring vision of Tanzania’s founding father, Mwalimu Julius Nyerere, by challenging the...
Na Mwandishi Maalum-Gazetini
Tume ya Madini imetoa tathmini ya mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Madini tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Mafanikio hayo yanajumuisha...
Na Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil
RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ina furaha kubwa kwa kiwango chake cha gesi asilia, ambacho kinahakikisha upatikanaji wa nishati ya kutosha kwa ajili ya maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kufanyika kwa Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini - Arusha
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi (OSHA) wametoa wito...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini-BAGAMOYO
ZAIDI ya miradi 120 yenye thamani ya sh. Trilioni 8.5 kati yake, miradi 18 itawekwa jiwe la msingi, 22 itazinduliwa na...
Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha...