Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Sayansi na Teknolojia

Na mwandishi wetu, Gazetini SAYANSI na Teknolojia zinachochea ubunifu na kuongeza tija na ushindani. Hivyo basi, sayansi na teknolojia ni vichocheo muhimu vinavyoleta tija, ufanisi...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Nishati

Na mwandishi wetu, Gazetini UPATIKANAJI wa nishati ya uhakika ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii. Umuhimu wa nishati unajidhihirisha kuanzia...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Usafirishaji fungamanishi 

Na mwandishi wetu, Gazetini VICHOCHEO vya maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza kasi ya kufikia malengo ya Dira 2050. Kwa kutambua hilo, Dira hii imebainisha...

Benki ya Dunia, Serikali kukamilisha mpango wa kuongeza ajira kwa vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI ya Tanzania na Benki ya Dunia zimefanya kikao cha pamoja cha kuhitimisha maandalizi ya kitaalamu ya Programu ya Uendelezaji wa...

Ndejembi awasha umeme Mwanubi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji...

TARURA yatajwa miongoni mwa taasisi bora za miundombinu Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, Wakili Boniventure Mwambaja, amesema anaiona Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

Awamu ya I uvutaji nyaya Chalinze-Dodoma yakamilika

Na mandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema Mkandarasi  amekamilisha  kwa mafanikio awamu ya kwanza ya kazi za uvutaji wa nyaya katika eneo...

Vijana wahimizwa kutumia fursa za kiuchumi

Na Malima Lubasha, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Angelina Lubela, amezindua Jukwaa la Vijana (Youth Platform) ikiwa ni hatua ya kuimarisha ushiriki...

IRGC: Hormuz haitafunguliwa vitisho dhidi ya Iran vikiendelea

TEHRAN, Iran Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetangaza kuwa Mlango Bahari wa Hormuz hautafunguliwa kikamilifu ikiwa vitisho vya kijeshi na...

Megawati 2,115 za Bwawa la Nyerere mbioni, Tanesco yatoa ratiba

Na Faraja Mulungu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuwa ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze...

Dhahabu ya Sh bilioni 1.2 yakamatwa Dar, Mavunde atoa onyo

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imekamata dhahabu yenye uzito wa gramu 4,402.20 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 1.2 katika...

Tanzania yashiriki mkutano wa AU kujadili ufadhili wa maendeleo ya viwanda

Na Ramadhan Hassan, Gazetini NAIBU Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania...

Recent articles