Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uchumi wa Buluu

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA ya Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na maji baridi, utakuwa na mchango mkubwa katika kuleta...

Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuiongeza wataalam OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuiongezea wataalam Wakala wa Usalama na Afya Mahali...

Tanzania yavutia Sh trilioni 9 za uwekezaji madini ndani ya miaka minne

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA ya Madini nchini Tanzania imevutia uwekezaji wenye thamani ya Sh trilioni 9 ndani ya kipindi cha miaka minne, hatua ambayo...

Dk. Samia kuzindua JNHPP Agosti 22, mchango wake wafikia 44.9% gridi ya taifa

Na Mwandishi wetu, Gazetini RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, katika eneo...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Madini

Na mwandishi wetu, Gazetini NI moja ya sekta muhimu yenye fursa kubwa ya kuchangia maendeleo ya nchi. Hii inatokana na utajiri wa rasilimali za madini,...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Ujenzi na milki

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hizi zitakuwa kiini cha ukuaji wa miji ya Tanzania, zikikidhi mahitaji yanayoongezeka ya makazi, miundombinu na huduma za umma, huku...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uzalishaji viwandani

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTEGEMEA kilimo pekee kwa muda mrefu ni changamoto kwa kuwa mabadiliko ya tabianchi, kuyumba kwa bei, misukosuko ya masoko duniani kunaweza...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Utalii

Na mwandishi wetu, Gazetini Kama ilivyo kilimo, utalii ni sekta nyingine nyeti katika uchumi wa Tanzania. Kwa takwimu halisi, inachangia asilimia 25 ya mapato ya...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Kilimo

Na mwandishi wetu, Gazetini DIRA 2050 inaanisha vigezo vitano vya kuchagua sekta za mageuzi. Vigezo hivyo vinatokana na umuhimu na mchango ambao umekuwa ukitolewa na...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Mageuzi ya Kidijitali

Na mwandishi wetu, Gazetini MAGEUZI ya Kidijitali ni kichocheo kingine muhimu cha maendeleo katika karne hii ya 21. Kwa maana nyingine, mageuzi ya kidijitali ni...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Utafiti na Maendeleo

Na mwandishi wetu, Gazetini KADRI nchi inavyoendelea, utfiti na maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza ubunifu, kutatua changamoto za ndani, na kuongeza tija katika uzalishaji. Vilevile,...

Lake Gas yaongeza kasi safari ya Tanzania ya Nishati Safi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA imeweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, huku Serikali ikisisitiza ushiriki...

Recent articles