8.9 C
New York

Neuer afika ‘levo’ za Messi

Published:

MUNICH, Ujerumani

MLINDA mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amefikisha mechi 136 akiwa kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

Idadi hiyo ni sawa na aliyokuwa nayo Lionel Messi akiwa Barcelona, ingawa wawili hao bado hawamfikii Iker Casillas.

Kwa sasa, Casillas ndiye mchezaji aliyeanza mechi nyingi zaidi (149) akiwa na timu moja (Real Madrid).

Katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, Neuer raia wa Ujerumani ameingia ‘first eleven’ ya Bayern mara 69 kwenye mechi za hatua ya mtoano.

Ni idadi ambayo alikuwa nayo pia Karim Benzema alipokuwa akiwatumikia wakali wa La Liga, Madrid.

Hata hivyo, bado Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji wa Madrid aliyecheza kikosi cha kwanza katika mechi nyingi (85) za mtoano za Ligi ya Mabingwa.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img