Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Infographics

Chart| Maambukizi ya VVU kwa vijana wanaojiunga JKT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Februari 3, 2023 Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI iliwasilisha taarifa yake bungeni kwa kipindi cha Februari 2022 hadi Februari...

Visual| Mapambano ya VVU Tanzania na mchango wa PEPFAR

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ikiwa ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuwapo kwa janga la Virusi Vya UKIMWI, Serikali ya Tanzania imesema kuwa imefanikiwa...

Bunge laikumbusha Serikali kugeukia shoroba

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali imeshauriwa kuchukua hatua madhubuti ikiwamo kutoa elimu kwa wananchi na kuweka alama za kudumu katika maeneo yenye mapitio ya wanayama...

Visual| Kila mmoja anawajibika kuepusha athari za wanyamapori

Na Faraja Masinde, Gazetini Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Kudhibiti Migogoro ya Binadamu - Wanyamapori 2020 -...

Visual| Moto unavyotikisa uwepo wa Mlima Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini zinachambua kuwa Sekta ya Utalii inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa huku...

Makala| Rehema: Mwanangu alifariki sababu ya utoto wangu-2

Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema pia hupata ujauzito mapema, hali ambayo huwaweka...

Visual| Sababu za kuhitaji nishati safi ya kupikia

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Wizara ya Nishati nchini zinaonyesha kuwa watu 33,000 wanafariki dunia kila mwaka nchini kutokana na kupikia mazingira yenye moshi...

Utafiti| Wanafunzi ‘wamesahaulika’ mapambano ya VVU

*Serikali inakumbushwa kuchukua hatua ikiwamo kubadili sera*Wazazi nao watakiwa kutokubaki nyuma Na Faraja Masinde, Gazetini Ni zaidi ya miaka 40 sasa imepita tangu janga la Virusi...

Utekelezwaji duni wa maagizo ya Kamati za Kudumu za Bunge

Na, Anoth Paul, Gazetini KUMEKUWA na kusuasua kwa namna utekelezwaji wa maagizo ya Kamati za Bunge unavyosuasua kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi...

Chati| Sababu za kushuka kwa ufaulu shule kuu ya Sheria Tanzania

Na, Anoth Paul, Gazetini Kwa mujibu wa Matokeo mwaka 2022 ni asilimia 4.1 tu ya wahitimu wamefaulu. Ndoto ya wanafunzi 633 katika Shule Kuu ya...

Visual| Ajali za Pikipiki tishio MOI

Na Anoth Paul, Gazetini Ajali zitokanazo na pikipiki zimesababisha idadi kubwa ya wagonjwa katika Taasisi ya Mifupa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Asilimia 70...

Elizabeth; Mama wa Watoto sita anayepambana na maisha Mvomero

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini “Acha…Si unaumwa wewe? Sina pesa mimi ya kukukimbiza hospitali sahivi,” Ni maneno ya mama anayemkataza mtoto wake kufanya michezo ya hatari...

Recent articles