Ads: info@gazetini.co.tz |
33.2 C
Dar es Salaam

Featured

Mastaa wanaosubiriwa EPL dirisha dogo Januari

LONDON, Uingereza USAJILI wa dirisha dogo wa Januari, mwakani, uko njiani kwa klabu za soka barani Ulaya, zikiwamo zile za Ligi Kuu ya England (EPL). Manchester...

Jenista Mhagama afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ALIYEKUWA Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma. Kwa...

Aliyemuua Waziri Mkuu aomba radhi

TOKYO, Japan TETSUYA Yamagami, ambaye ni mwanaume aliyekutwa na hatia katika mashitaka ya kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amekiri makosa na...

Bunge lataka Rais apunguziwe kifungo

RIO Brazil BUNGE la Brazil limewasilisha mswada wa kuomba Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jair Bolsonaro, kupunguziwa adhabu ya kifungo cha gerezani. Bolsonaro mwenye umri...

Marekani yazitaka Thailand, Cambodia kumaliza vita

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imezionya Thailand na Cambodia ikizitaka nchi jirani hizo kuacha mara moja vita inayoendelea. Kwa siku tatu mfululizo, yameshuhudiwa mapigano...

ICC yamfunga miaka 20 kiongozi wa jeshi Sudan

DARFUR, Sudan MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemuhukumu kifungo cha miaka 20 aliyekuwa kiongozi wa kikundi cha kijeshi cha Janjaweed nchini Sudan. Ali Muhammad Ali...

Jeshi la Polisi laonya wanaondelea kuhamasisha maandamano

Na Mwandishi Wetu, Gazetini JESHI la Polisi nchini limesema  kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama  litaendelea kuimarisha hali ya usalama nchini na kulinda...

Kombe la Dunia 2026: Vita ya ubingwa iko hapa tu

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA utazizungumzia timu zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia hapo mwakani, basi hutaacha kuitaja England 'Three Lions'....

Maswali magumu hatua ya makundi Kombe la Dunia 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini HAFLA ya droo ya hatua ya makundi imeshafanyika huko Marekani, ikimaanisha sasa yangeshapatikana 12 yeye timu nne kila moja. Zilizofuzu ni...

Kitabu cha Diara kina ukurasa wa Guardiola

Na Hassan Mwasha, Gazetini ACHANA na akina Pacome Zouzoua. Kama kuna jambo linalowapa jeuri mashabiki, viongozi na benchi la ufundi la Yanga, ni uwepo wa...

Simbachawene: Watanzania wameonesha uzalendo kwa kudumisha amani

Na mwandishi wetu, Gazetini Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema Watanzania wameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa kudumisha amani na utulivu, kufuatia...

Kombe la Dunia 2026; Kundi K

Na mwandishi wetu, Gazetini KUMEKUCHA! Droo ya hatua ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia ilichezeshwa nchini Marekani.Kwa mara ya kwanza, fainali hizo zitashirikisha...

Recent articles