Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Burudani

Staa Nigeria apoteza uwezo wa kuona

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Remi Aluko, amefichua kuwa macho yake yamepoteza uwezo wa kuona. Katika mahojiano yake na kituo cha runinga cha Oyinmomo, amesema...

Mr Flavour: Siwezi kutulia na mwanamke mmoja

LAGOS, Nigeria STAA wa muziki nchini Nigeria, Chinedu Okoli, maarufu kwa jina la Mr Flavour, ameweka wazi kuwa ni ngumu kwake kuwa kwenye mahusiano na...

Mke wa Paul wa P-Square afunguka, asema hakufuata pesa

LAGOS, Nigeria IVY Ifeoma ambaye ni mke wa pacha wa P-Square, Paul Okoye, amesema hakufuata pesa kwa staa huyo wa muziki. Ifeoma ameyasema hayo, huku akiwataka...

Mrembo aliyekaribia kuvunja ndoa ya Jay Z, Beyonce

LOS ANGELES, Marekani RAPA Jay Z na staa wa Malkia wa muziki wa R&B na Pop, Beyonce Knowles, ni moja ya 'kapo' za muda mrefu...

Rema afunguka sababu ya kumkimbia mpenzi wake

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI wa Afrobeats, Divine Ikubor, maarufu kwa jina la Rema, amesema mpenzi wake alikuwa mkorofi na msumbufu, hivyo akaamua kuachana naye na kubaki...

Davido: Wasanii simameni na wananchi, siyo wanasiasa

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, David Adeleke, maarufu Davido, amekiri kuwa wasanii, akiwamo yeye, hawajafanya vya kutosha kusimama na wananchi katika changamoto zinazowakabili. Wakati...

Eminem; Kutoka maisha magumu mtaani hadi ustaa

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA Marshall Bruce Mathers III lakini mashabiki wake wanamfahamu kwa jina la Eminem, ambaye ni mmoja ya mastaa wakubwa na wa muda...

Búlamu ya Sela Mulonda yazidi kupeta

Na Christopher Msekena, Gazetini MSANII wa muziki wa Injili anayeishi Ireland, Sela Mulonda, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa wimbo wake mpya ya Búlamu. Sela Mulonda mwenye...

Miaka 17 baada ya kifo, filamu ‘yamrudisha’ Michael Jackson

LOS ANGELES, Marekani NI miaka 17 imepita tangu staa wa muziki wa Pop, Michael Jackson, alipofariki Juni 25, 2009, lakini sasa ni kama amezaliwa upya...

50 Cent, Diddy uadui wao tangu kitambo!

LOS ANGELES, Marekani SIO jambo geni kwamba mastaa wa Hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson '50 Cent' na Sean Combs 'Diddy', wamekuwa kwenye uhusiano mbaya...

Lil Wayne anasa kwa ‘kitoto cha 2000’

LOS ANGELES, Marekani BAADA ya Lil Wayne kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu, Denise Bidot, staa huyo wa muziki wa Hip hop ameripotiwa kuangukia...

Staa Nigeria afunguka kuvuta bangi za Mil. 630/-

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI wa Afrobeats nchini Nigeria, Ice Prince Zamani, amedai kuwa alitumia Naira milioni 340 (zaidi ya Sh mil. 630 za Tanzania) kununua bangi. Akihojiwa...

Recent articles