LONDON, Uingereza
WAKATI ikiwapo dhana kuwa wafanyabiashara wakubwa wamekuwa na kawaida ya kukwepa kodi za serikali katika nchi zao, kwa Uingereza imekuwa tofauti.
Kundi la mamilionea...
KINSHASA, DRC
WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa...
MUNICH, Ujerumani
BEKI wa kati wa zamani wa Arsenal, Per Mertesacker, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Chama cha Soka cha Ujerumani (DFB).
Mertesacker mwenye umri...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki wa R&B, Chris Brown, amekutwa na hatia katika kesi ya kumshambulia mtu kwenye ukumbi wa starehe nyakati za usiku.
Brown...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMATI ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (TNCM) imeidhinisha rasmi ombi la Tanzania la...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Lebanon, Joseph Aoun, alikutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake nchini Marekani, Donald Trump, mapema wiki hii.
Ziara ya Rais Aoun...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TATIZO la ajira kwa vijana limeendelea kuzalisha maandamano katika nchi mbalimbali duniani, safari hii India ikichukua nafasi.
Hamasa ya vijana wa Chama...
LONDON, Uingereza
KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...
LAGOS, Nigeria
MENEJA maarufu wa wasanii wa muziki nchini Nigeria, Ubi Franklin, amefichua kuwa aliwahi kukaribia kujiua kwa kujirusha darajani jijini Lagos.
Franklin ameanika hayo kupitia...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imetangaza usajili wa kiungo kutoka Wigan Athletic, Harrison Bettoni, ambaye amesaini mkataba wa miaka minne.
Bettoni (18), alikuwa mchezaji muhimu katika...