Ads: info@gazetini.co.tz |
29.5 C
Dar es Salaam

Featured

Nyota mpya Arsenal apewa jezi yake

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Arsenal, Christos Tzolis, amekabidhiwa jezi namba 17 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL) na michuano...

Man City yamfungia kazi Mbaye

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inakazania mpango wa kumsajili mshambuliaji anayetaka kuondoka PSG, Ibrahim Mbaye. Kwa sasa, taarifa zinaeleza kuwa Man City imeanza mazungumzo na...

Al-Hilal yatua kwa Dembele

PARIS, Ufaransa MATAJIRI wa klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia wanapambana kuinasa saini ya mshambuliaji wa PSG raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele. Al-Hilal wameibuka wakati huu...

Man United yamvalia njuga beki Colombia

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaacha kuipigania saini ya beki wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Colombia, Jhon Lucumi. Nyota huyo wa...

Dc Temeke avitaka vyombo vya dola kuchunguza showroom za magari

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo...

Serikali yatoa masharti ya kurejea kwa mikutano ya hadhara

Na Ramadhan Hassan, Dodoma SERIKALI imesema uamuzi wa kusitisha kwa muda mikutano ya hadhara umetokana na sababu za kiusalama baada ya vyombo vya ulinzi na...

Motsepe: Infantino ni rafiki wa kweli wa Afrika

CAIRO, Misri RAIS wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amempongeza Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaja kuwa kiongozi...

Tanzania yashiriki mkutano wa AU kujadili ufadhili wa maendeleo ya viwanda

Na Ramadhan Hassan, Gazetini NAIBU Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania...

Meya wa New York arudi nyuma kumkamata Netanyahu

NEW YORK, Marekani MEYA wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema hana mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo...

ICC yakomalia uhalifu dhidi ya binadamu Sudan

HAGUE, Uholanzi MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeendelea kulaani kinachoendelea Sudan, ikisema upo ushahidi wa uwepo wa matukio ya uhalifu dhidi ya...

Guardiola atarejesha ufalme wa Italia?

LONDON, Uingereza SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka...

A-Z ya mashuti, asisti, mabao Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...

Recent articles