22.6 C
New York

Mfalme wa Norway afariki akiwa na miaka 89

Published:

OSLO, Norway

MFALME wa Norway, Harald V, amefariki akiwa na umri wa miaka 89, zikiwa ni siku chache zimepita tangu alipopelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu ya tatizo la damu.

Mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa Harald V amefariki leo Agosti 28, 2026 katika Hospitali ya Taifa mjini Oslo.

Saa 24 kabla ya kifo chake, familia ya kifalme ilimtembelea na wengine kupeleka maua kwenye jumba lake.

Baada ya kifo chake, mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 53, Haakon, ndiye anayeshika mamlaka ya ufalme.

Mwanamfalme wa Uingereza, Charles III, ametuma salamu zake za rambirambi akieleza kuguswa na taarifa za kifo cha Harald V.

Kwa upande wake, Mfalme wa Sweden, Carl XVI Gustaf, naye ameguswa na kifo cha Harald V akisema alikuwa Rafiki yake mkubwa.

Related articles

Recent articles