LONDON, Uingereza
WAKATI huu Real Madrid ikijaribu kumshawishi Vinicius JR kusaini mkataba mpya, Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil.
Huu ni...
Na Hassan Mwasha
KAMA ni mfuatiliaji wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa kupitia vituo vya televisheni pekee, basi ni wazi unapitwa na mengi. Jiongeze!
Kwa sasa, mtandao...
LOS ANGELES, Marekani
ANAITWA El Mayo. Ndilo jina maarufu zaidi kuliko Ismael Zambada alilopewa na wazazi wake, akiwa pia ndiye muasisi wa genge hatari la...
TEHRAN, Iran
UNAITWA Mlima Pickaxe. Unapatikana Kusini mwa Iran katika Jimbo la Isfahan, umbali wa maili 1.24 kutoka kilipo kinu cha nyuklia cha Natanz. Ulinzi...
YOUNDE, Cameroon
NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen...
WASHINGTON DC, Marekani
BEI ya mafuta katika soko la dunia imeshuka kwa asilimia 9, yakiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Marekani na Iran kusimamia kwa...
LONDON, Uingereza
RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewasili nchini Uingereza, ambako atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham.
Zelensky atakuwa mgeni wa kwanza...
MILAN, Italia
ANDREA Pirlo amesema hawezi tena kupewa kibarua cha kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Hiyo imesababishwa na wanasiasa.
Iko hivi; Pirlo ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyolenga kukuza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imekamata dhahabu yenye uzito wa gramu 4,402.20 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 1.2 katika...