8 C
New York

Yacouba atambulishwa Mbeya City

Published:

Na Mwandishi Wetu, Gazetini

NYOTA wa zamani wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ametambulishwa  rasmi na  klabu ya Mbeya City akiwa miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa katika kipindi cha dirisha dogo msimu huu ili kuimarisha kikosi hicho kinachonolewa na kocha  Mecky Mexime.

Yacouba raia wa Burkina Faso, amereja tena Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kukaa nje karibia nusu msimu kutokana kujitibia jeraha la goti. Amewahi kuzitumia klabu za Ihefu, Tabora United.

Wachezaji wengine walitua Mbeya City  kipindi cha dirisha dogo ni Said Naushad, Hijja Shamte  waliwahi kuitumikia  Kagera Sugar na  Abdallah Kulandana, akitokea Fountain Gate FC.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img