Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Wananchi wengi wanaisikia Dira 2050, lakini…

Na mwandishi wetu, Gazetini Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...

BoT inavyolinda mfumo wa fedha dhidi ya utakatishaji

Na Esther Mnyika, Gazetini MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...

Serikali yatoa Sh milioni 400 kwa vijana Ludewa

Na mwandishi wetu, Ludewa SERIKALI imetoa mkopo usio na riba wenye thamani ya Shilingi milioni 400 kwa vijana 117 kutoka vikundi vinne vya Kata ya...

Marekani, Iran: Dunia bado gizani bei ya mafuta

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imefanya shambulizi la usiku kwa mara ya tatu huko Iran. Katika shambulizi la mwisho, watu wawili wamefariki huko Kusini-Magharibi mwa Iran,...

DIB ilivyojenga imani ya wananchi kwenye benki hata zinapofilisika

Na Esther Mnyika, Gazetini KWA Watanzania wengi, kuweka fedha benki ni njia salama ya kutunza akiba, kufanya miamala na kupanga mustakabali wa kifedha. Hata hivyo,...

Vijana ndio wahusika wakuu wa Dira 2050, washauriwa kujipanga sasa

Na mwandishi wetu, Gazetni VIJANA wa Tanzania wametajwa kuwa kundi litakalobeba mafanikio makubwa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, huku wakihimizwa kuanza kujijengea uwezo...

Dira 2050 siyo ya Serikali pekee, kila Mtanzania ana nafasi ya kuijenga

Na mwandishi wetu, Gazetini WANANCHI wametakiwa kutambua kuwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 hauitegemei Serikali pekee, bali unahitaji ushiriki wa kila Mtanzania...

Tanesco yapokea malori 214 kutoka Isuzu kuboresha huduma ya umeme nchini

na mwandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepokea malori 214 kutoka kampuni ya Isuzu East Africa kupitia Al Mansour Auto EA Tanzania kwa...

Uhaba wa mafuta wamfikisha pabaya Rais Putin

MOSCOW, Urusi HALI ni mbaya mjini Moscow juu ya upatikanaji wa nishati ya mafuta. Foleni katika vituo vya mafuta (sheli) imeshuhudiwa kwenye maeneo mengi. Mrundikano huo...

Beckham na mitego yake ya pesa inayompa maisha ya kibosi

LONDON, Uingereza MEI, 2026, Gazeti la Sunday Times lilimtaja David Beckham kuwa ndiye mwanamichezo pekee wa Uingereza aliyefikia hadhi ya kuitwa bilionea. Kwa mujibu wa chanzo...

Nchi zinazotegemea zaidi mafuta kutoka Mashariki ya Kati

Na mwandishi wetu, Gazetini UKWELI ulio wazi ni kwamba vita kati ya Marekani na Iran vimekuwa na athari kubwa katika uchumi wa dunia. Vita hivyo vimesababisha...

RC Katavi atoa siku 90 kurejesha mikopo, Tanganyika yapongezwa

Na Mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ametoa siku 90 kwa vikundi vyote vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10 kutoka halmashauri...

Recent articles